manji afariki dunia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baada ya Yanga kujitenga, Familia ya Yusuph Manji yahitimisha msiba bila ya Yanga!

    Ndugu wanajukwaa, leo familia ya Manji wamehitimisha msiba wa mpendwa wetu Yusuph Manji uliotokea Jumamosi ya wiki iliyopita kwa Dua maalumu iliyosomwa na viongozi mbalimbali wa kidini wakiongozwa na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir katika viwanja vya Karimjee. Katika jambo...
  2. Kwanini Yanga hawajauchukulia msiba wa Yusuph Manji Kwa ukubwa

    Sisi mashabiki wa Yanga tumesononeka na kifo cha Yusuph Manji. Lakini viongozi na taasisi ya Yanga hawajaupa uzito msiba huu wa kiongozi aloyejitoa muda, nguvu na zaidi pesa zake kuijenga na kuipa mafanikio team yetu ya Yanga. Yanga wameshindwa kuomboleza japo kuamru bendera za team yetu...
  3. TANZIA Yusuf Manji, Mfanyabiashara maarufu aliyewahi kuwa mdhamini wa Yanga SC afariki dunia nchini Marekani

    Yusuf Manji enzi za uhai wake Mfanyabiashara maarufu na aliyekuwa mdhamini wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji amefariki dunia jana Jumamosi Juni 29, 2024 saa 6 usiku katika Jimbo la Florida nchini Marekani alipokuwa anapatiwa matibabu. Taarifa za kifo hicho zimethibitishwa na mtoto wake, Mehbub...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…