Ndugu waheshimiwa habari za majukumu kama sio shughuli za kila siku,
Kama title hapo juu nimevutiwa sana na specification za extrail manual, maana nataka ku shift kutoka auto nipate gari yenye pulling na economy engene.
Najua kuna watao sema nissan sio gari mara ugonjwa wa moyo ila kiufupi...