manual

A manual transmission, also known as a manual gearbox, a standard transmission, stick shift, or simply gearbox, is a type of transmission used in motor vehicle applications. It uses a driver-operated clutch, usually engaged and disengaged by a foot pedal or hand lever, for regulating torque transfer from the engine to the transmission; and a gear selector that can be operated by hand.
A conventional 5- or 6-speed manual transmission is often the standard equipment in a modern base model vehicle, with 5- speed being common on lower end vehicles and commercial vehicles. Higher end vehicles, such as sports cars and luxury cars are often usually equipped with a 6-speed transmission for the base model. Other options include automatic transmissions such as a traditional automatic (hydraulic planetary) transmission (often a manumatic), an automated manual transmission, or a continuously variable transmission (CVT). The number of forward gear ratios is often expressed for automatic transmissions as well (e.g., 9-speed automatic).

View More On Wikipedia.org
  1. Hizi Cruisers Mpya J300 na Prado J50 hakuna Manual Transmission. Sahivi na sisi Madereva wa Serikali tunaenjoy utamu wa Auto!

    Hatimae tumefikiwa. J250 Prado na J300 Cruisers zimekuja kazini na hakuna Auto, kuuliza wanasema hakuna model yenye manual transmission. J300 zimekuja za diesel zenye gear 10 zile za cc 3300 twin turbo V6. Prado zimekuja za 2.8L gear 8 diesel. Sasa mkono na mguu wa kushoto wacha vipumzike.
  2. Madereva wa SGR wana leseni ya aina moja?

    Wakati mwingine ukipanda husikii chochote na wakati mwingine ukipanda Gia na breki zote unazisikia, yaani mishituko ya hapa na pale.
  3. G

    Ni ipi siri ya kuweza kubalance klachi kubadili gia kwenye gari za manual

    Ni kwa miaka zaidi ya 15 gari pekee nazoendesha ni automatic Gari za manual nazipenda ila napata shida kubalance klachi na moto wakati wa kubadili gia. nikiachia klachi nikianza kukanyaga moto wakati nabadili gia, gari inaruka ruka. Tupeane ujuzi na tips
  4. Unaendesha Auto transmission mkono wa nini kwenye gear lever si utafute Manual

    Nashangaa sana mtu agari yake Auto ila mkono hautoki kwenye gear handle ile,sasa kama una mzuka si uilipue uchkue kaz kazin manual, haya ma mazda cx5 yapo manual,honda fit anazo manual hybrid,probox anazo,toyota rush manual ipo, strlalet zipo. Manual ndio gari na ndio mana landcruiser zote za...
  5. TTCL home Internet Installation Manual

    Habarini wakuu, poleni na majukumu. Moja kwa moja kwenye mada. Ni hivi, Shida yangu ni hii nna imani tuna ma IT gurus wengi kwenye haya maswala humu. Mimi niko mkoa wa X wilayani Y, huku niliko kuna mnara wa TTCL na inatoa huduma. Sasa niliongea nao kuhusu kununua router na kufanyiwa...
  6. Car4Sale Carina AT 190 Manual

    Habari za leo waungwana? Nauza gari hii. Ni Carina AT 190 Manual. Gari inatembea vizuri kabisa na mimi ndiye mmiliki. Ina CC 1590, vibali vyote vipo. Inapatikana Busega (Nyashimo) Simiyu. Kilomita 30 kutoka Magu barabara ya Mwanza - Musoma. Bei ni 3,300,000. Punguzo lipo. Piga 0623304519 tuzungumze.
  7. INAUZWA Nauza Mashine ndogo ya kukamua juisi ya miwa (Mashine ya manual)

    Mashine ya kukamua juisi ya miwa Mashine ya manual Bei 550,000/= Hii mashine unaweza kutumia binafsi kuanzisha biashara ya juisi ya miwa au ukaikodisha kwa mtu mwengine Sifa za mashine 🔸️uzito ni 34kg 🔸️haitumii umeme 🔸️ukubwa wake 46*36*46 🔸️haitumii umeme yani ni manual 🔸️material yake ni...
  8. Mashine ya kufunga nyasi kavu(Manual Hay Beller)

    Habar wanajukwaa hili,mimi ni mfugaji mdogo wa ng'ombe maziwa. Kutokana na changamoto ya malisho,ninauhitaji wa kuanza kutengeneza na kuhifidh malisho, lakini nimejaribu kuulizia hiki kifaa kwa hapa Bongo nikapata kampuni moja(hide name) ipo Arusha wanauza bei mbaya mno yani zaidi ya 2 millions...
  9. M

    Manual juice maker

    Manual juicer ya kisasa (Bei Tsh 30,000) &Haitumii umeme, rahisi kutumia. &Inatoa juice Safi bila chemical & Portable,rahisi kusafiri nayo &Imeundwa kwa material imara(Aluminum) &Rahisi kuisafisha. WhatsApp link. Golden Online Store Simu no 0658 106 630 Ndani ya Dar ni free delivery. Unalipia...
  10. It’s called ECO toilet, it can compose human waste and can be used as manual.

    It can be cleaned with water and you don’t need running water to use it. After cleaning with water you can wipe the surface with antibacterial wipes.
  11. Nawezaje kuona setting za VPN apps Kama manual VPN..?

    Mfano unatumia vpn app ambayo unabofya tu inajikonekti yenyewe,Sasa je Kuna namna ipi naweza pata data za hiyohiyo app na nikaziset mwenyewe manually..?? Msaada tafadhari.
  12. Matumizi ya M- Kwenye Auto - Manual Cars. Wengi wanashindwa kufahamu watumie nini na wakati gani?

    Kwenye hizi gari ndogo za Mjapan ambazo nmefanikiwa kumiliki nimekuwa nikipenda kuwa na Gari ambazo ni Auto Manual- Binafsi mimi ni mpenzi sana wa Gari Manual. Ingawa kwa hizi ndogo ni nadra sana kuzipata Manual. kwa hizi ndogo nimekuwa na Toyota Harrier, Toyota Crown, Toyota Rumion na Toyota...
  13. V

    Natafuta kazi, nimesoma Bachelor of Finance na uzoefu mwingi

    Hello wanaforum naitwa richard nimegraduate degree ya finance university of dsm natafuta nafasi ya kazi ya kujitolea kwenye kampuni yoyote nipate uzoefu Napatikana Dar Es Salaam Tanzania namba zangu 0657710078
  14. R

    Natafuta Clutch ya Nissan Xtrail manual

    Salaam Naomba msaada wa kujua duka linauza spare parts za Nissan Xtrail. Nahitaji clutch na pressing yake. Gari ni manual Natanguliza shukran
  15. Car4Sale Atezza Manual for sale

    Altezza manual 5m DSM 0626409908
  16. Car4Sale Suzuki Cami Manual inakusubiri kwa hamu 3.6mil

    Get it now. This machine is manually operated. It has no any technical problems. Not repainted at all. located at kunduchi Dar es salaam. Priced at 3.6million Tshs come with your technician and get this drive. Hotline: 0625750755
  17. Car4Sale Suzuki escudo Manual, Engine Ndogo: 5.5mil only

    gari iko poa iko Dar. kwa Taarifa zaidi njoo ukague gari
  18. Car4Sale Jipatie Gari hii Manual Gear kwa milioni 3.5 tu

    Gari manual ni chache sanaa. wahi hii usiikose. Haina tatizo lolote na inatumika mpaka sasa. Cc 1600 engine 7A full ac. call 0683011003.. Dar es salaam
  19. Natafuta dereva wa kunifundisha gari manual Dar es Salaam

    Habari wakuu. Nimejifunza udereva mikoani, kwa sasa nahitaji mtaalam wa kuendesha town center anipe mafunzo, gari itakuwa yake, kwa sasa bado sijaagiza gari yangu. Malipo maelewano Piga 0713 039 875
  20. Car4Sale Suzuki escudo manual for sale: 3.2 Million wahi

    SUZUKI ESCUDO gari ipo pouwa Haina shida yeyote Full vibali Full doc'ments Bei mil 3.2 Simu 0683011003
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…