Uamuzi wa kutozwa faini ya Pauni Milioni 1.4 (Tsh. Bilioni 3.9) umetokana na kipa huyo mkongwe kuikosoa klabu kwa uamuzi wa kumfukuza Kocha wa Makipa Toni Tapalovic.
Neuer (36) yupo nje ya uwanja akiuguza majeraha ya kuvunjika mguu, kauli yake ilimkwaza Mtendaji Mkuu wa Bayern, Oliver Kahn...