manufaa ya mtandao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ustahimilivu wa Digitali Unawawezesha Watoto Kunufaika na Matumizi ya Mtandao

    Ustahimilivu wa digitali kwa watoto ni ujuzi ambao watoto wanahitaji ili kudhibiti na kustahimili changamoto za ulimwengu wa mtandaoni kwa usalama. Ni uwezo wa kutofautisha mema na mabaya katika maisha ya kidigitali, kufikiri kwa umakini, kufanya maamuzi mazuri, na kufahamu hatari na matokeo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…