Jihadhari na Udanganyifu wa Kijinsia...
Wanaume
Ngono ni nzuri, lakini imepewa thamani ya juu kupita kiasi.
Wanawake wanadhani ngono ina nguvu sana. Wanadhani na kupitiliza uwezo wao wa kijinsia. Wanaamini kwamba ngono ni muhimu sana kwa wanaume, kwamba wanaume hawawezi kuishi bila ngono...