Ninaishi katika jiji lenye joto kali na halijoto hufikia 35°c kwa urahisi kwa hivyo karibu harufu yoyote ile huhisi kuudhi. Je, ni perfume gani inayoweza kuburudisha hisia hiyo?
Kwasababu kwa ninavyofahamu kila perfume hutengenezwa kulingana na hali ya hewa la eneo,sasa juzi nilijichanganya...
Salaam.
Wapenzi wa manukato nimewaandalia list ya Perfume maarufu (na zenye bei mbaya) na clones zake zinazofanana kwa asilimia 60 mpaka 90.
Unaweza kuwa ni mpenzi wa perfume fulani lakini hali ya kifedha ikawa hairuhusu hivyo unaweza kupata clone au wenyewe wanaita dupes ambazo zinakuwa bei...
Basi la VIP Dar kwenda Arusha inakuwaje muhudumu wenu ajipulizie Manukato wakati ndani ya gari kuna air conditioning na madirisha yamefungwa.
Ni usumbufu Kwa abiria na wengine Wana matatizo ya harufu na vifua. Waelemisheni wahudumu wenu
It's JEJUTz here!
Ni kweli kabisa ni jambo zuri kuoneka mtanashati na mrembo popote uonekanapo.Ni jambo jema kuonekana wa kisasa na unaependeza kwa mpangilio wa mavazi yako l.
Ila kuna hii issue moja huwa ni kero na ni nadra mtu kukuambia ila ukweli watu huumia na kugugumia moyoni kimya kimya...
Sina mengi sana ile wenye wapenzi vibonge tunapata hio kero ya kujirudia miongoni mwa vibonge ambao ni wapenzi wetu.
Vibonge ukiona mwanaume hakutafuti mara kwa mara jiulize kama sio shoo mbovu basi ujue umekosa maksi kwenye Usafi wa mwili.
Zama hizi sabuni nzuri zipi na perfume nzuri zipo...
Habari za majukumu wana JF, poleni na mihangaiko ya hapa na pale. 🤝🤝
- Watu wanaweza kuwa na tabia na matarajio tofauti sana katika uhusiano, na mara nyingi hutokea kwamba baadhi yao huweka masharti magumu kwa sababu zao binafsi. Au Inawezekana mtu huyu anafanya hivyo ili kujilinda kutokana na...
Wadau Habari zenu,
Naomba kufahamu zaidi kuhusu haya manukato (mafuta) yanayoitwa Bint Sudan ambayo watu tofauti huyatumia kama manukato tu ya kawaida na wengine tiba ya mambo tofauti kama kunuka KIKWAPA, lakini pia wengine hutumia kitaalamu zaidi kwa ajili ya kuondoa Nuksi na Mikosi.
Sasa...
Wadau Habari zenu,
Naomba kufahamu zaidi kuhusu haya manukato (mafuta) yanayoitwa Bint Sudan ambayo watu tofauti huyatumia kama manukato tu ya kawaida na wengine tiba ya mambo tofauti kama kunuka KIKWAPA, lakini pia wengine hutumia kitaalamu zaidi kwa ajili ya kuondoa Nuksi na Mikosi.
Sasa...
Habari JF,
Kwa wenye uzoefu wa hili jambo naomba mnisaidie ni ishara ya nini?
Siku tatu nyuma nilienda kijijini kwetu kusalimia,sasa kama mjuavyo ndugu kijijini huwa ni wengi na ukifika huko basi ni lazima ujitahidi uwatembelee wote kuepusha lawama.
Kilichonishangaza ni kwamba kuna siku...
Habari wakuu
Siku chache zilizopita nilitembelewa na mgeni nyumbani. Alikuwa amejipulizia manukato/perfume ambayo harufu yake imebaki kwa wiki nzima sasa kwenye sofa aliyokuwa amekaa.
Kwa wajuzi wa manukato naomba kujua ni brand gani za perfume zinaweza kudumu muda mrefu kiasi hiki. Mimi ni...
Naamini humu sitokosa mtu anaefanya hii biashara kama si mfanya hii biashara ila ana idea na elimu au taarifa kuhusu hii biashara.
Ni moja ya biashara ambayo nimechagua kuifanya kwa ukubwa sana huu mwaka Ndani ya biashara yangu Flani hivi.
Naombeni muongozo wa namna naweza ianzisha sijui...
Bustani Yenye Manukato ya Furaha ya Kihisia (1886)
na Muhammad al-Nafzawi , iliyotafsiriwa kwa Kingereza na Richard Francis Burton.
zinazohusiana : Ngono .
Miradi Dada.miradi dada : Makala ya Wikipedia , kategoria ya Commons , bidhaa ya Wikidata .
Bustani Yenye Manukato ( الروض العاطر في نزهة...
Habari Wana JF
Huu mjadala nimeukuta mahali, nikaona ni vyema nikauleta huku nishee mawazo yenu.
Ni sahihi mwanaume kupaka manukato yenye kunukia sana?
Ni sahihi mwanaume kuoga mara tatu kwa siku?
Kwa upande wangu mimi haya manukato yamenikaa mbali.
Kila binadamu iwe ke/me ana uhuru wa...
Samahani wadau wenzangu, natambua kuna uzi wa pafyumu mbalimbali humu lakini nilivyoupitia nimeona nyingi za mle ni bei kali. Wengine sisi walamba nyau kumudu ni kazi.
Ombi langu kwenu ni aina gani ya pafyumu kwa mwanaume kijana isiyozidi elfu 15 au 20 angalau ina uzuri fulani naweza nikanukia...
Ua zuri lenye harufu ya kuvutia mi nalifahamu kwa jina la KILUA, haya maua nayaona sana maeneo ya pwani ebu wanayoyafahamu wanieleweshe zaidi kuhusu huu mti unaotoa haya maua.
Nahitaji kujua pafyumu zingine zinazoizidi ubora na uromantic wa hii kuruthumu.
Binafsi siifahamu sijawahi kutumia naomba uzoefu toka kwenu wazee wa baraza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.