manunuzi mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B Prosper

    Nataka nianze kununua bidhaa mtandaoni kutokea China. Nomba mwenye uelewa wa manunuzi mtandaoni anijuze

    Wakuu habari, Nataka nianze kununua bidhaa mtandaoni hasa kutokea nchini China. Sijawahi kufanya hivyo kabla hivyo naomba mwenye uelewa kidogo anijulishe. Mfano, nimeona kuna app ya ebay na alibaba ipi itakuwa bora zaidi kuitumia? Na pia kama kuna vitu vya kuzingatia naomba nijulishwe...
  2. Suley2019

    Mbinu za Kuepuka Utapeli Wakati wa Manunuzi Mtandaoni

    - Nunua kwenye tovuti zinazojulikana na kuwa mwangalifu wa herufi za kiunganishi cha tovuti hiyo. Mfano; Amazon.com inaweza kuwa Arnazon.com - Hakikisha tovuti ina alama ya kufuli kwenye sehemu ya kuonesha kiunganishi. Hii inaonesha tovuti ina tumia HTTPS ambayo ni salama - Fanya utafiti...
Back
Top Bottom