TANZANIA TUITAKAYO - UNUNUZI WA UMMA.
Manunuzi, ni kitendo cha kununua au kuuza hifaamike tu kuwa nibidhaa au huduma kutoka katika chanzo cha msambazaji au mtoa huduma lakini chanzo hiko kiwe halali katika utoaji wa huduma, manunuzi yavitu ambavyo haviko halali yani vitu vya wizi hatuseme...
Wakuu kwema?
Kampuni ya Ndege ya Tanzania inatarajiwa kupokea ndege mpya aina ya Boeing B787-8 Dreamliner, yenye uwezo wa kubeba abiria 262.
Tukio la mapokezi ya ndege hiyo mpya linatarajiwa kufanyika leo Agosti 19, katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Abeid Amani Karume, Zanzibar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.