Hello how are you all!!!!!
Leo nimekumbuka hiki kisa.
Ilikuwa mnamo mwaka 2012 nimemaliza darasa la 7. Ilikuwa mwezi wa 10 kama sijasahau, huko mkoa mashughuli kwa ulimaji wa tumbaku.
Baba yangu ni mkulima pia wa tumbaku toka kitambo sana.
Huwa tuna utaratibu wa kuendea wasaidizi wa kazi...