Tangu kilipoanzishwa tu kimekua na changamoto nyingi zikiwepo usajili na kutofata utaratibu wa Tanzania.
Kwa waliomaliza 2013 rudi nyuma hawatoi transcript.
Baadhi ya couruse zao hazitambuliki nacte au Tcu, ushahidi nnao.
Kuna watu wana transcript za uganda ambazo zina masomo hawakuwahi...