Huyu mwenye nyumba natamani siku moja nimpandishe Super feo mpaka Namtumbo nilipotokea ili ajue mi ni mtu wa aina gani maana dharau zinazidi watu tulipotokea mitaa inaitwa kwa jina la familia na hata hatuvimbi hapa town tupo humble tu.
Mtu kumiliki kakibanda Dar es salaam anajiona kama katoboa...