Leo Tarehe 30 Jan 25 umefanyika mnada wa kwanza wa zao la Korosho kwenye Ghala la Kuhifadhia Korosho na bei kutangazwa ni Tsh 3,167/= kwa kilo Moja.
Tunaendelea kuupiga mwingi.
..Msikilize Tundu Lissu akieleza kilichotokea mpaka kada wa Chadema akapigwa risasi.
..kuna ushahidi usio na shaka kwamba kada wa Chadema ameuwawa na mawakala / agents wa CCM.
..maelezo ya Polisi mkoa wa Singida yanatofautiana na maelezo ya Mkuu wa Wilaya ya Manyoni...
Mgombea kupitia Chadema wa Kitongoji cha Stand, kata ya Mkwese, Jimbo la Manyoni Mashariki George Juma Mohamed ameuwawa kwa kupigwa risasi ya kiuno usiku wa kuamkia leo tarehe 27 Novemba 2024, majira ya saa saba usiku nyumbani kwake. Mwili wa marehemu upo hospitali ya wilaya ya Manyoni.
Pia...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe ametembelea Shule Maalum ya Wasichana Sekondari ya Solya na kuzungumza na Wanafunzi wa kike shuleni hapo na kuwapa zawadi ya taulo za kike na vifaa vya michezo
Mbunge Aysharose Mattembe amewatia moyo Wanafunzi wa kike wanaosoma katika...
Mbunge wa Viti Maalum, Martha Nehemia Gwau amesema Serikali inatakiwa kutafuta njia mbadala ya kukabiliana na Tembpo ambao wamekuwa wakiharibu mazao na kutishia usalama wa Wananchi
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Manyoni Bwana Jumanne Makhanga analalamikiwa na wananchi ambao ni wanachama hai wa CCM Wilaya ya Manyoni kwa kuchangisha pesa zisizo na tija.
Mwenyekiti huyo kwa mwaka jana pekee amechangisha pesa kwa wanachama wote kwa kila Mwanachama kutoa Shilling mia tano kwa...
Hii ajali imetokea asubuhi ya Leo maeneo ya Kintinku wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida,
Hilo Lori lilisimamishwa kwa ajili ya ukaguzi hiyo coaster ikaja kuvaa Lori kwa nyuma na kuna taarifa za kifo,
Poleni sana aisee na Mungu awatie nguvu wote waliofikwa na majanga haya.
Credit - Adventure_36
Wakuu mwenye taarifa kamili atujuze maan kuna ndugu yetu tumepewa taarifa kafariki alikuwa humo,
Innalillah wainna ilayhi raajiu'uun
=====
Watu 14 wamefariki dunia na wengine 26 wakijeruhiwa katika ajali iyohusisha basi la Kampuni ya Baraka Classic, yenye namba za usajili T 336 DPW, inayofanya...
Kuna barabara muhimu na inayoweza kuikomboa Mkoa wa singida kiuchumi kwa muda mfupi.
Barabara hiyo inaunganisha Mkoa wa Singida _ Mbeya- Zambia na Malawi.
Barabara hiyo inatokea Manyoni- Itigi - Rungwa kupitia chunya kwenda Mbeya ni kipindi cha Kms 233 tu.
Nitawashangaa Tanroads mkoss as...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya Wapya 37, kuwahamisha vituo vya Kazi Wakuu wa Wilaya 48 na wengine 55 kubakia kwenye vituo vyao.
Kati ya Wakuu wa Wilaya hao 140, Wanawake ni 40 na Wanaume ni 100 ambao ni kama ifuatavyo:
A)...
#KutokaManyoni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida Mhe. Martha Gwau ametembelea na kushiriki ujenzi wa Shule ya Wasichana Mkoa wa Singida ya Solya iliyopo Wilaya ya Manyoni.
Akizungumza baada ya kushiriki ujenzi huo Mbunge wa Viti Maalum kwa niaba ya Wanawake Mkoa wa Singida ameishukuru...
Wananchi wa kitongoji ya Mwanzi mtaa wa mlimani leo wamejitokeza kwa wingi kutengeneza barabara ya mtaa ili kuweza kuondoa tatizo ya ukosefu wa barabara inayosababisha wakina Mama wajawazito kushindwa kupelekwa hospitalini.
Rai yangu serikali iwashike mkono Wananchi wao kwa kuwachongea barabara...
Shule ya msingi chicheho, iliyopo kata ya sanza wilaya manyoni ina upungufu mkubwa wa madawati (nusu ya shule nzima wanafunzi wanakaa chini ) hali ni mbaya sana.
Mwili wa mtoto Christian Samson (1), aliyezikwaa siku ya Jumapili katika makaburi ya kitongoji cha Kipondoda wilayani Manyoni mkoani Singida, umefukuliwa na kuchukuliwa na watu wasiojulikana licha ya ndugu kuutafuta bila mafanikio.
Simanzi na huzuni zilitawala katika makaburi hayo hii ikiwa sio...