Habari za Sabato!
Leo nitakuwa Kanisa la Wasabato Manzese. Huko natarajia kubarikiwa Sana.
Ninaupenda mtaa wa Manzese kwa sababu umebarikiwa Kwaya kubwa Mashuhuri hapa nchini. Kwaya ya Mbiu, na Kwaya ya Angaza, na Kwaya ya Sauti ya Nyikani.
Tujumuike sote tukabarikiwe.
Wakuu,
Mambo yanazidi kuwa moto kuelekea uchaguzi mkuu 2025.
Baada ya kushindwa kesi na wadada wanaodhaniwa kufanya biashara ya kuuza mwili sasa atinga vijiweni kusikiliza kero za wananchi.
Makonda kawainspaya wengi🌚.
====
DC Bomboko akiwa kata ya Manzese mtaa wa midizini katika kijiwe cha...
Tamasha la Kitaa Festival la Kampuni ya Coca-Cola limeanza rasmi Jumamosi hii, likiwatembelea wakazi wa Manzese Bhakresa jijini Dar es Salaam kufurahia utamaduni wa vyakula vya asili vya Watanzania.
‘Bakhresa Kitaa Fest’ iliwaunganisha wapishi, mashabiki wa vyakula mbalimbali, watu maarufu, na...
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya inamshikilia SHABAN MUSA ADAM (54) mkazi jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kutengeneza dawa za kulevya.
Akiongea na Wanahabari Mkoani Dar Es Salaam leo 27 Julai 2024, Kamishna Jenerali Bw Aretas James Lyimo, amesema
Mtuhumiwa alikamatwa...
Wazazi na Walezi Salaam.
Nawakumbusha kuwatakia Watoto wenu wote chini ya umri wa miaka 18 Heri ya Siku ya Mtoto wa Afrika Leo Juni, 2024.
Wapeni Wosia kuwa: wamshike Sana Elimu, wasimuache aende zake....🇹🇿🤝✍🏻
Zaidi ya yote tuseme nao kuhusu janga la ukatili dhidi yao, tusiwaonee aibu maana...
Lilikuwa ni suala la muda tu na hatimaye unaweza kusema tumerudi nyuma au tumerudi kwenye maisha yetu ya kawaida au tuliyozoea.
Daladala za kutokea Mbezi mpaka Mnazi Mmoja kupitia Manzese, Magomeni, Fire hadi mnazi mmoja zimeanza kazi rasmi leo.
Hadi muda huu bado zipo chache sana, ila kwa...
Wakuu nimefika eneo la maduka ya Manzese kwa ajili ya kufanya manunuzi yangu binafsi ila nikakuta maduka yote yamefungwa.
Kwa tetesi zilizopo ni kwamba kuna mgomo unaoendelea.
Tatizo kubwa ni halmashauri kuweka service levy kubwa ambazo hazina uhalisia walikuja viongozi wakasema majibu kamili...
Najua kwamba katika moja ya mambo ambayo SSH alitilia mkazo, ni ile migogoro yenye sura ya kitaifa, vijiji na hifadhi za taifa, vijiji na mapori, maeneo ya serikali na wananchi, na mengine kama hayo, akaunda kamati ya kitaifa ya mawaziri.
Mbona ndugu Silaa hajihusishi na hayo ambayo SSH...
Maeneo tajwa hayana maji kwa zaidi ya siku tano sasa, Wahusika wako kimyaaa, jana nimewaona Watendaji WA Dawasco wako kwenye Bajaj wanazunguka Tu. Hii Hali ni hatari, kipindupindu kiko nje nje, mahotel mengi Sana hapa Manzese hayana maji.
Umeme NAO unakatwa kwa zaidi ya masaa SITA Hadi 12 kwa...
Wikiendi iliyopita, Jumamosi na Jumapili nilipata wasaa wa kutembea Goba kwa sehemu kubwa kwa sababu nilikua na ndugu yangu ambae katoka huko mkoani anataka kiwanja na kujenga Dar.
Ndugu yangu kafika hapa tayari alishachagua eneo analolitaka kua ni Goba, basi tukatafta madalali na kuanza...
Tiptop bar wameikalabati sasa imekua nzuri inapendeza Sana ,Jana nilikua tiptop mine enyoy Sana usiku wa malaika band kila jumanne
Wadau mnaionaje tiptop sasa baada ya kuikalabati
Naomba kuuliza naweza kupata hotel au lodge nzuri na yenye usalama maeneo ya manzese isiyosidi 25k , nataka kukaa siku tano bajet yangu ni hiyo.
Natokea Mbeya nakuja kuleta ndizi mabibo sokoni.
Habari ndugu kuna Eneo linauzwa Manzese Argentina. Eneo linatazamana na barabara kuu ya Morogoro road jirani kabisa na kituo cha Mwendokasi cha Argentina
Eneo linafaa ujenzi wa hotel, shell au kuweka kitega uchumi chochote
Bei 400ml maongezi yapo
kwa maelezo zaidi What's up number
+255628891673...
Oya wahuni tusogee mitaa hii tupige Vitu vya baridi mpaka majogoo, njooni tu join wadau wa jamiiforum tujuane zaidi
Fika manzese kituo kinaitwa manzese darajani uliza bar ya mkwere, panaitwa Kwa mkwere nipo humu hata kama huna pesa we njoo nitanunua mabapa matatu ya KVANT
Umewahi kumla mzungu? au wewe unahangaika na hayo akina mwajuma ndala ndefu au akina cheusiku wa ubongo riverside? Pole sasa nikuambie mie mwenzio nimemla mzungu jana kwenye guest za manzese sema yeye huyo mzungu hataki mambo mengi sana japo ni mfanyakazi mmoja wa shirika moja la kimataifa na...
Hakuna kitu kinakera kama foleni ya Manzese! Yaani unakaa foleni ili kupisha watu wavuke kwa mamia!!? Mambo ya kizamani sana haya.
Tunacheleweshana tu katika maendeleo. Mamlaka husika waliangalie hili. Tunaonekana wote ni wajinga kwa kukosa weledi wa kutatua changamoto iliyowazi kabisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.