maofisa msitu monduli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maofisa msitu wadaiwa kuchoma nyumba, familia yalala nje siku nne

    Familia ya watu sita wilayani Monduli, mkoani Arusha kwa siku nne imelala nje, baada ya nyumba zao kuchomwa moto na wanaodaiwa kuwa maofisa maliasili. Watu hao wanaoishi Kata ya Monduli Juu wanadaiwa kuishi ndani ya hifadhi ya msitu wa jamii katika Kijiji cha Emairete. Akizungumza na Mwananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…