Serikali imekabidhi magari 51 kwa maofisa elimu wa sekondari wa halmashauri, kuongeza ufanisi, usimamizi na ufuatiliaji wa slimu nchini. Akizungumza katika hafla ya kukabidhi magari hayo jana, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angellah Kairuki alisema...