Juzi tarehe 06 march 2025, Bugando medical centre walitangaza nafasi za ajira kwa kada mbali mbali za afya ila tangazo halikuainisha maombi yatumwe kwa njia gani yani mfano kwa online portal,Email au kwa kupeleka barua posta. Nikiingia Career portal yao haifanyi kazi ni kama dead link.
Kwa...
Sitaandika mambo mengi lakini ujumbe huu unaweza kuwafanya bora zaidi. Cheki huu ujumbe ambao huyu dogo katumiwa baada ya maombi yake ya kazi kutokukubaliwa
"Hi XXX
"Thanks a ton for applying for the role with XXXGroup!
While we won't be moving forward with your application this time, we want...
Kwa muda takribani wiki sasa, nimekuwa nikijaribu kutuma maombi ya kazi kupitia mfumo wa ajira wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) bila mafanikio. Niwaombe Mamlaka watoke hadharani na kutoa tamko kuhusu changamoto hizi na mwelekeo (Way forward).
Kuna wakati napata hisia mbaya kwamba tayari...
Hello Wana JF
Nashida katika uombaji ajira hizi za Uhamiaji, nimesha fanikiwa atua ya awali ya kujisajiri Sasa changamoto inakuja pale ninapo taka kuendelea kuja taarifa zangu zingine hainiletei muongozo unao fuata, mwenye ufahamu zaidi naomba Msaada.
Mimi ni mwajiriwa kampuni fulani hapa Dar es Salaam ila kuna kazi imetokea yenye mshahara mzuri kuliko huku nilipo sasa kulikua na mchujo hatimae tumebaki watu watano kati ya 20.
Miongoni mwa vitu ambavyo walikua wanatusisitiza sana hawataki watu ambao wapo kwenye ajira na kama umeacha au...
Kwa mfano jina langu katika NIDA ni Mussa Ramadhani Mussa ila kwenye vyeti vyangu vya taaluma ni Mussa Ramadhani.
Nimesikia kuwa naweza kupata affidavit na nikafanikiwa.
Je, kuna ukweli katika hili?
Naomba ufafanuzi kwa yeyote ajuaye wakuu.
Nawasilisha!🙏
Naomba ufafanuzi jamani mimi huwa sielewi.
Unapomwambia muomba ajira za serikali akahakiki vyeti kwa mwanasheria kwamba kwenye vyeti kunakuwa na SHERIA zimekosewa au wanaotoa hivyo vyeti hawaaminiki?
Au ni kuufanya mfumo uwe mgumu tu? Sio mwanasheria Mimi naomba ufafanuzi. Waangalie hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.