maombi ya ajira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    MSAADA: Jinsi ya kutuma maombi ya Ajira Bugando Medical Centre, March 2025

    Juzi tarehe 06 march 2025, Bugando medical centre walitangaza nafasi za ajira kwa kada mbali mbali za afya ila tangazo halikuainisha maombi yatumwe kwa njia gani yani mfano kwa online portal,Email au kwa kupeleka barua posta. Nikiingia Career portal yao haifanyi kazi ni kama dead link. Kwa...
  2. HR wa Tanzania mna mengi yakujifunza kwa huu ujumbe

    Sitaandika mambo mengi lakini ujumbe huu unaweza kuwafanya bora zaidi. Cheki huu ujumbe ambao huyu dogo katumiwa baada ya maombi yake ya kazi kutokukubaliwa "Hi XXX "Thanks a ton for applying for the role with XXXGroup! While we won't be moving forward with your application this time, we want...
  3. Changamoto ya mfumo wa kutuma maombi ya ajira kwa nafasi za kazi za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA))

    Kwa muda takribani wiki sasa, nimekuwa nikijaribu kutuma maombi ya kazi kupitia mfumo wa ajira wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) bila mafanikio. Niwaombe Mamlaka watoke hadharani na kutoa tamko kuhusu changamoto hizi na mwelekeo (Way forward). Kuna wakati napata hisia mbaya kwamba tayari...
  4. Mfumo wa kufanya maombi ya ajira wa TRA unaleta errors wataalam wa IT wa TRA urekebisheni

    Mfumo unaleta internal saver error. Hapo inakua ni ngumu kufanya usajili ili uweze kufanya maombi ya ajira.
  5. G

    Changamoto ya kufanya maombi ya ajira katika Jeshi la Uhamiaji

    Hello Wana JF Nashida katika uombaji ajira hizi za Uhamiaji, nimesha fanikiwa atua ya awali ya kujisajiri Sasa changamoto inakuja pale ninapo taka kuendelea kuja taarifa zangu zingine hainiletei muongozo unao fuata, mwenye ufahamu zaidi naomba Msaada.
  6. Kuna mtu aliyefanikiwa kuedit kipengele A (personal information) kwenye mfumo wa maombi ya ajira uhamiaji?

    Nimekwama hapa Naomba msaada kwa anaefahamu.
  7. Nataka niombe kazi wakati bado nipo kwenye ajira nyingine

    Mimi ni mwajiriwa kampuni fulani hapa Dar es Salaam ila kuna kazi imetokea yenye mshahara mzuri kuliko huku nilipo sasa kulikua na mchujo hatimae tumebaki watu watano kati ya 20. Miongoni mwa vitu ambavyo walikua wanatusisitiza sana hawataki watu ambao wapo kwenye ajira na kama umeacha au...
  8. Je, Affidavit inatosha katika maombi ya ajira kwa wenye changamoto ya majina mawili?

    Kwa mfano jina langu katika NIDA ni Mussa Ramadhani Mussa ila kwenye vyeti vyangu vya taaluma ni Mussa Ramadhani. Nimesikia kuwa naweza kupata affidavit na nikafanikiwa. Je, kuna ukweli katika hili? Naomba ufafanuzi kwa yeyote ajuaye wakuu. Nawasilisha!🙏
  9. Naomba ufafanuzi, unapomuambia muomba ajira akahakiki vyeti kwa mwanasheria maana yake hizo taasisi haziaminiki?

    Naomba ufafanuzi jamani mimi huwa sielewi. Unapomwambia muomba ajira za serikali akahakiki vyeti kwa mwanasheria kwamba kwenye vyeti kunakuwa na SHERIA zimekosewa au wanaotoa hivyo vyeti hawaaminiki? Au ni kuufanya mfumo uwe mgumu tu? Sio mwanasheria Mimi naomba ufafanuzi. Waangalie hizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…