Sitachoka kuwalalamikia RITA, unatuma cheti cha kuzaliwa walichotoa wenyewe, wanakaa nacho zaidi ya wiki 3, baadae wanakujibu picha ya kivuli haionekani vizuri.
Wanakwambia kitume upya. Ukishakituma baada ya siku kadhaa wanakujibu cheti walichotoa wenyewe eti hakiko kwenye orodha...