maonesho kizimkazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Lissu: Rais Samia hajakosea kuniita Simba

    Kufuatia Rais Samia Suluhu Hassan kutoa maagizo kuwa simba wa kizimkazi Zanzibar aitwe jina la Tundu Lissu, naye Lissu amefunguka kuhusu simba kupewa jina lake, amesema yeye amezaliwa kwenye ukoo wa mashujaa wa Kinyaturu ambao waliwahi kuua simba walipoingia kula mifugo yao. Amesema kwamba babu...
  2. Mkalukungone mwamba

    Ally Kamwe aibua shangwe akiyakata mauno kwenye Tamasha la Kizimkazi

    Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe leo ameonesha uwezo wake wa kulirudi sebene jukwaani kwenye shamrashamra za kilele cha Tamasha la Kizimkazi visiwani Zanzibar. Pia soma: Rais Samia awabubujisha machozi ya furaha wana Yanga, awapigia simu Uwanja wa Taifa
  3. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia atembelea Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii Kizimkazi Zanzibar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Agosti 24,2024 ametembelea banda la Wizara ya Maliasili na Utalii na kujionea vivutio mbalimbali vya wanyamapori kwenye maonesho ya Tisa ya Tamasha maarufu la Kizimkazi Kusini Unguja visiwani Zanzibar. Akiwa katika banda hilo...
  4. Lusungo

    Pre GE2025 Rais Samia atoa maagizo ya Simba dume wa Kizimkazi kupewa jina la Tundu Lissu

    Akiwa huko kizimkazi leo akipita katika mabanda ya wanyama alipofika banda la Simba haraka akauliza huyu Simba mmempa jina gani wakasema hana jina akasema mpeni Tundu Lissu!! Simba ni mtawala na ni mfalme, ana nguvu na akili sana. Samia alijiita chui Jike leo kamwita Lissu Simba. Simba ni...
  5. Ojuolegbha

    Je, wajua au umepata kusimuliwa asili ya jina Kizimkazi? Mzee Said Ramadhan, mwanahistoria mahiri kutoka Kizimkazi, yupo hapa kukupa maana na asili ya

    JE, wajua au umepata kusimuliwa asili ya jina Kizimkazi? Mzee Said Ramadhan, mwanahistoria mahiri kutoka Kizimkazi, yupo hapa kukupa maana na asili ya Kizimkazi. Kizimkazi jina linamanisha katika kujenga Msikiti walikuwepo Kiongozi wao alikuwa ni mtu anajitahdi kwa kazi wale wenyeji pale waka...
Back
Top Bottom