Maonesho haya zamani ilikuwa ni promotion za kufa mtu, yaani unaenda una saula unavyotaka, ila siku hizi Bei ya sabasaba, bora uende dukani tu.
Kiingilio kilikuwa affordable kwa kila mtu.
Sabasaba ilikuwa mtoko.
Chalamila ameyasema hayo katika ufunguzi wa maonesho ya biashara Dar Saba Saba ambako Rais Nyusi wa Msumbiji alikuwa mgeni rasmi;
"Sisi wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam kama ambavyo tunayo hamu wewe kuendelea kuwa mkazi wa Dar es Salaam, usiende tena kuishi mkoa mwingine. Nitumie nafasi hii...