maoni tamisemi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kamati ya Bunge Yahimiza Maslahi ya Watumishi Wapya Yazingatiwe

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI imeiomba serikali kuendelea kuboresha maslahi ya watumishi na kuwalipa stahiki zao, hususan kwa watumishi wapya, ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Justin Lazaro Nyamoga ametoa kauli hiyo wakati wa ziara ya...
  2. Ofisi ya Rais – TAMISEMI Special Thread: Karibu tukuhudumie, tupe Maoni, Maswali, Mapendekezo na Malalamiko

    Ndugu wana JamiiForums, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), kupitia thread hii, tutapokea Maoni, Ushauri, Malalamiko, Mapendekezo yako Mwananchi. Tunakuhakikishia kuchukua hatua stahiki kwa haraka zaidi kwa kile utakachokiwasilisha kwetu. Ikumbukwe kuwa tangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…