Wakuu,
Mie sipendi tubishane sana. Wala si kwamba naleta mambo ya ujuaji kiviiile.
Ukiachana na watu wachache wenye kusifia kila jambo, kama unataka kuamini we ulizia watu 10 hapo mtaani kwenu ni kwa kiwango gani wanaridhika na uongozi wa viongozi wao. Kisha waulize wao wangependa viongozi wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.