maono

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Maono: Mpaka uchaguzi ninaziona kama bilioni 5 hivi zikikusanywa; 2 'zitatumika' katika uchaguzi; 3 zitawezesha safari ya Ulaya na Marekani!

    Siasa achana nayo tu jamani.......siasa ni nyoko. Kila nikiwasikiliza na kuwaona na kurejea taarifa ya 'kusanyaji' kadhaa huko nyuma, naona kabisa hapa hii miamba inatafuta au imelenga bilioni kama tano Hadi sita hivi kufikia uchaguzi. Hiyo ni kutoka kwa tone-tone na wafadhili wengine. Mbili...
  2. G

    MAONO: Kariakoo Derby

    Mechi itaisha kwa sare ya magoli.
  3. Kujenga uwanja wa siti 32,000 Dodoma, Ni kukosa Maono

    Uzinduzi wa mbwembwe kujenga uwanja ambao upo chini ya viwango vya fifa ni kukosa maono na kufanya siasa chafu kwenye mambo ya maana. Uwanja wa siti 32K ni uwanja wa levo ya halmashauri kama kinondoni walivyo jenga pale mwenge. Ilikuwaje mkapa miaka 30 iliyopita aliamua kujenga uwanja wa siti...
  4. D

    Tanzania kwani hatuna maono/ ndoto za kuhost World Cup?

    Kuelekea michuano ya afcon serikali ya Tanzania imekuwa ikiboresha sana miundombinu yetu kuonyesha kuwa tupo serious na suala zima la kuhost afcon kama hub ya football East Africa lakini sasa ni kama tunafanya for afcon tu yani hatuna kabisa maono zaidi ya hapo. Tuna viwanja viwili vipya...
  5. JAMVI la wanawake: Maono na ushauri wa wazazi

    Ushauri gani ulipewa na mzazi, iwe ni baba au mama, ukaufuata na umekusaidia kufika mpaka hapo ulipo? Naanza: “Atayekulisha ni mwema, ila utampa pia uwezo wa kukulaza njaa wakati wowote atakapoamua - jishughulishe na hakikisha hauwi tegemezi”. Ushauri kutoka kwa baba yangu (Mungu amrehemu)...
  6. Hongera Dkt. Jumanne Kishimba maono yako ya Elimu kwa vitendo yametimia. WanaJF tumpongeze

    Walihisi anachekesha katika hoja zake na michango yake bungeni lakini, alikuwa anaona huruma kwa vijana wa taifa hili kuhitimu vyuo na kupewa makaratasi ambayo kwa ujumla na ulimwengu wa sasa havina nafasi bali kazi za mikono ndio suluhisho la maisha ya sasa. Sijui kama Leo alialikwa kwenye...
  7. Tanzania Kituo cha Mageuzi ya Nishati: Mkutano wa Nishati Afrika 2025 na Juhudi za Rais Samia

    Tanzania Kituo cha Mageuzi ya Nishati: Mkutano wa Nishati Afrika 2025 na Juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan Ikiwa zimebaki siku 29 kuelekea Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika, Tanzania inajipanga kuandika historia kwa kuwa mwenyeji wa tukio hili kubwa. Mkutano huu, unaotarajiwa...
  8. Maono niliyoona usiku wa kuamkia leo 20/01/2025

    Bwana Yesu Kristo asifiwe. Mungu azidi kuwabariki nyote ambao mmependwa na BWANA kwa kuwazidishia afya njema na pumzi yake ya bure. Kabla sijaleta maono haya naomba niseme mimi siyo mwanasiasa wa chama chochote nchini tanzania wala nchi yeyote. "Nilikuwa katika roho, naam ulimwengu ule...
  9. Mwabukusi: Tundu Lissu amebeba na kusimamia maono, wengine wamebeba chama chao, tuende na chama au maono?

    TL Kabeba Maono na Anasimami na kulinda Maono.Wengine wamebeba chama chao na kusimamia na kulinda chama .Twende na Chama au Maono. Tundu Antipas Mugwai ni mtu mwenye misimamo thabiti na mwenye akili bora ya kuwa sehemu ya harakati yoyote ya upinzani yenye uaminifu. Ni mtu wa kuaminika...
  10. K

    Maono- ndoto kuhusu Mbowe

    Nimepata maono ya ajabu sana ya kimungu kuhusu Mh Mbowe. Nimeotehswa Mbowe kavaa jezi namba 17 sijajua maana yake kwa undani lakini nimeona ni share hapa
  11. Hahaha.... Basi kama maono yangu yatatimia, big up FAM na TAL + CDM

    Picha inachezea hivi, Kuna kamati imeundwa kubomoa CDM kutoka kule, kunapesa mingi imetengwa kutoka kule na kwenda kule. Mh. FAM anataka mzigo zaidi ili aendelee kukomaa Mh TAL anamwambi endelea kukaza ili tupate pesa ya kukijenga chama kwa kutengeneza fake conflict Kisha tutakuja kumalizia dk...
  12. Dira na Maono ya Taifa ni mali ya watanzania

    Maono ya taifa ni dira inayofafanua malengo makuu ya nchi kwa muda mrefu. Ni muhimu sana maono haya yatoke kwa wananchi wenyewe, kwani wao ndio wahusika wakuu na walengwa wa maendeleo. Makala hii inajadili wa ufupi tu sababu za kwa nini wananchi wa hali ya chini wanapaswa kuwa mstari wa mbele...
  13. Sijaridhishwa na namna Mbowe anavyoiongoza Chadema, chama chetu kinahitaji mwelekeo mpya na uongozi wenye maono mapya," alisema Tundu Lissu leo akizun

    Sijaridhishwa na namna Mbowe anavyoiongoza Chadema, chama chetu kinahitaji mwelekeo mpya na uongozi wenye maono mapya," alisema Tundu Lissu leo akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Mlimani City. Lissu alitumia fursa hiyo kutangaza rasmi nia yake ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa...
  14. K

    Maono: Kama viongozi wetu wataendelea hivi Majanga hayataisha Tanzania

    Kwa sisi wenye imani tunaamini majanga yetu ni kwasababu ya uporaji wa haki na bila kuwa na upendo na haki kwa wote ikiwa ni pamoja na katiba nzuri, demokrasia ya kweli, bunge na mahakama inayotoa haki majanga nchini hayataisha. Majanga yatakuja ya mvua, matetemoko , ajali na vifo. Viongozi...
  15. Matajiri wetu na Wanasiasa wanatuangusha kwa kukosa maono

    Eti leo tunawashangilia matajiri wetu, kina MO na Azam, kwa kuujaza utajiri wao kupitia kuuza energy drinks, barafu za ukwaju, tambi, na viberiti. Lakini je, tupo serious kweli kama taifa? Tunafurahia mafanikio haya huku tukiangalia ajira za wanyonge zikiteketezwa kwa sababu shughuli ndogondogo...
  16. Maendeleo ya watanzania yanazorota kwasababu ya ushamba wa matajiri na ukosefu wa maono toka kwa Wanasiasa

    Eti leo tunawashangilia matajiri wetu, kina MO na Azam, kwa kuujaza utajiri wao kupitia kuuza energy drinks, barafu za ukwaju, tambi, na viberiti. Lakini je, tupo serious kweli kama taifa? Tunafurahia mafanikio haya huku tukiangalia ajira za wanyonge zikiteketezwa kwa sababu shughuli ndogondogo...
  17. Tundu Lissu ana uwezo mdogo mno wa uongozi ukimlinganisha na Dkt. Slaa au mbowe ambao angalau wana maono

    Ukiachilia mbali hekima na busara za kiuongozi na kimamlaka kumpitia mbali, saikolojia na uzalendo wake ni wa mashaka zaidi ukilinganisha na hao wengine japo nao familia ziko ughaibuni. Hana maandalizi wala mpangilio wa kujieleza. Ni kama analalamika tu kwa kila kitu. Akijieleza binafsi...
  18. Maono binafsi kuhusu ukurasa mmoja wa Instagram

    Habarini za jioni ndugu zangu wakubwa na wadogo. Moja kwa Moja niende kwenye lengo la Uzi huu. Nimekuwa nikifuatilia moja ya kurasa ya mtumiaji wa mtandao wa kijamii wa Instagram, ukurasa huo sitautaja kwa jina ila wenyewe unahusu kupeana ushauri, maono na kwa kiasi kidogo kutafuta mwenza awe...
  19. Mchango wa Mwalimu Julius Nyerere Katika Kilimo na Siasa za Kujitegemea: Urithi wa Maono Makubwa Kwa Taifa la Tanzania

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa la Tanzania, alitambua mapema kuwa maendeleo ya taifa changa la Tanzania hayangeweza kutegemea misaada ya nje pekee. Aliweka msingi wa falsafa ya kujitegemea, akiamini kuwa Tanzania inaweza kujenga uchumi imara kupitia rasilimali zake za ndani...
  20. R

    Kwanini wanapoteuliwa na kutumbuliwa ni wale wale? Hakuna watanzania wengine wenye sifa na maono?

    Moja ya jambo linalojitokeza kwenye mikeka ya uteuzi na kutumbua ni kujirudia kwa majina. Tumekuwa tunawaapisha watu walewale kila siku na hivyo hata maono yamebaki ni yale yale. Je, kuendelea kuteua watu wale wale kuna tija kwa Taifa au ni tija kwa familia ya wanaoteuliwa? Je Taifa halina watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…