maonyesho ya biashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mauzo ya Sabasaba yashuka kutoka Tsh. Bilioni 7.06 mwaka 2025 hadi Tsh. Bilioni 3.9 mwaka 2026

    Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam yamewezesha kufanyika kwa mauzo ya papo kwa papo yenye thamani ya shilingi bilioni 3.9 huku zaidi ya asilimia 61 ya waoneshaji wakipata fursa za mauzo ya bidhaa nje ya nchi. Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE, Dk. Latifa Mohamed Khamis, amesema...
  2. JamiiForums Tanzania Dkt. Mpoki apongeza Huduma Bora za Kibingwa za MOI Sabasaba

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) Mhe. Balozi Dkt. Mpoki Ulisubisya leo Julai, 4, 2025 ametembelea banda la kutolea huduma la taasisi hiyo katika maonesho ya 49 ya kimataifa ya biashara ya Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam. Dkt. Mpoki ambaye...
  3. JamiiForums Tanzania Tamasha la Kimataifa la Maonyesho ya Biashara na Utalii Nyanda za Juu Kusini

    Maonyesho ya Biashara na Utalii Nyanda za Juu Kusini 📍 Matema beach, Kyela, Mbeya, Tanzania 🇹🇿 Kusini International Trade Fair & Festival 2024 Ni maonyesho ya kimataifa yaliyoundwa ili kukuza shughuli za biashara na nyingine zinazohusiana na uwekezaji, kilimo na umwagiliaji, afya, utamaduni...
  4. JamiiForums Tanzania Maonesho ya Kimataifa ya Biashara: Taasisi za Umma Dhidi ya Maboresho

    Napongeza kwa jitihada zinazofanyika ktk kuandaa maonyesho ya kimataifa ya biashara na kuazimishwa kila mwaka. Kwa kuwa ni maonyesho makubwa ya kibiashara na yamekuwa yakihusisha makampuni na taasisi za kibiashara toka ktk mataifa mbalimbali nina dhani kuna haja ya kutathmini athari zake Chanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…