LOW PROFILE NI MBINU ITAKAYOKUSAIDIA KATIKA MAPAMBANO YA MAISHA
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Nilisema, usitafute Wala usilazimishe kuheshimiwa na kîla Mtu.
Nikasema, siô lazima kîla Mtu akuheshimu, nikimaanisha siô kîla heshima ni muhimu kwako.
Nasema, kîla heshima inakuja Kwa Wakati...
GRAPHS ZA MAISHA: KUPANDA, KUSHUKA NA KÛWA UNIFORM
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli
Maisha ni hesabu ya 📉 📈 Graph. Maisha ni safari. Katika safari kûna nyakati, mazîngira, na wahusika àmbao huweza kuathiri Graphy yako.
Wàpo waliozaliwa katika Maisha àmbayo Graphy zào zîpo juu. Zimepanda...
MAPAMBANO YA SIRINI.
Jambo la msingi sana kutambua kwenye haya maisha ni kwamba haijalishi unamuona mtu yuko vizuri ama amefanikiwa kwa kiasi gani tambua yuko na mapambano yake sirini, na mapambano ya sirini yanabaki ni siri ya mtu huenda usiyatambue kabisa kwa sababu mbele ya macho yako unaona...
Tambua Vikwazo vya Ndani
Usiwalaumu wengine, dharau mapambano yao au kutia chumvi yako mwenyewe, au lawama hali zisizotarajiwa. Zingatia kile unachoweza kubadilisha: wewe mwenyewe. Kila mmoja wetu anawajibika kwa tabia, mawazo, na hisia zake. Chukua jukumu la maisha yako na utambue ni vikwazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.