Kwa mujibu wa gazeti hili linadai kuwa ongezeko la Wanyapori limeletwa na Royal Tour. Kwamba Simba, Kasongo, Fisi na wanyama wengine walipomuona tu mama wakaanza kuzaliana mfululizo? Hivi Machawa mnatumia akili au matope?
Mapambio yakizidi mwishowe yanakuwa ni matusi kwa mnayemsifia na hata...
Nimepata kukutana na hii picha kutoka mtandao wa X kutoka kwenye ukurasa rasmi ya TAMISEMI kiukweli nimepata hasira na kuona watanzania sijui huwa tunafikiria nini? Ukweli tunauficha kwenye uvungu na kuhubiri uongo, kwa sababu ya kulinda ugali na uchawa uliopitiliza.
Kuna shule zipo kwenye...
Wakati wa utawala wa mzee JPM, watu wenye kujinasibu ni wazalendo, walitumia muda mwingi kumsifu, kumpa utukufu uliovuka UBINADAMU, kiasi kwamba akina Nape wakitabiri kuwa Edo angefia ikulu, ila JPM mpiga push up hafi 😭😭 that was blasphemy against the almighty God, 😭😭 conscious foolishness...
Kuna mambo yanachekesha sana sometimes, unatengeneza tatizo, unawaacha wanahangaika nalo at the same time unatafuta praise team ili ku-justify kuwa tatizo ulilotengeneza sio tatizo. Unakaa kimyaa baada ya muda unaondoa tatizo unashangiliwa tena na praise team ambayo ni empty headed with zero...
Habarini Wanajukwaa Mimi nimeamka salama Chini ya Udhamini wa Majini ya Yanga yamenituma niende Twitter(X) Asubuhi ya Leo ila nilichokutana nacho nimeumia sana nikajiuliza hivi kwanini tuna watu hawa hii Nchi.
Bahat mbaya wamepata bahat ya kujulikana na kupendwa ila hawana Msaada kabisa yani...
Nipo natazama wachangiaji wa bunge linaloendelea. Cha kushangaza wengi wa wabunge wanatumia muda wao mwingi wakitoa sifa nyingi kwa kazi zilizofanyika. Cha kushangaza zaidi baadae wanakimbizana na muda kutoa pointi za msingi na muda hauwatoshi.
Niwambie wapiga kura watakupima kwa kile...
Habari za kazi wana JF,
Nadhani na nyie ni mashahidi jinsi tulivyopumzika/kupumua juu ya mapambio na kusifusifu na kuabudu kwenye kero ya hali ya juu kutoka kwa baadhi ya viongozi wasio na uweledi na WANAFIKI wakubwa nchini kwetu.
Hata media nazo zimesimama kwa muda kurusha rusha matangazo ya...
Ndani ya Kipindi kifupi tumeona uwekezaji uliovunja rekodi tangu tupate Uhuru. Hatujawahi kuvutia uwekezaji kwa kiwango cha trilioni 9.6 thamani ya uwekezaji ndani ya miezi 9 yaani uwekezaji wa Rais samia miezi 9 unazidi uwekezaji wa miaka 4 iliyopita huyu Mama hana sifa ya kujikosha na...
Huyu mwana wetu, hatukumwambia alipokosea, aliamua kufanya lolote atakalo, na hata alipofanya mabaya tukamsifu kwamba huo uovu wake aufanyao ndio uanaume wenyewe.
Alianza kwa kuwatumia rafiki zake wa kutoka mbali tusiowajua kupoteza wadogo zake, akaenda mbali akafanya maovu makubwa, tukamsifu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.