mapambo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ubunifu: mapambo mbalimbali

  2. Tunauza picha nzuri kwa ajili ya mapambo ya ofisini na nyumbani

    Tunauza picha nzuri kwa ajili ya kupamba ofisini na majumbani karibuni tuwaudumie Picha hizi chini zina ukubwa wa size A3 Bei ni sh 23000. Contact 017009453 DSM NA MIKOANI TUNATUMA
  3. Life has no make-up / maisha hayana mapambo, na hayaifichi ukifika umri furani

    Maisha Hayana Mapambo: Ukweli Usio Na Filter Unapokuwa Mzee Kadiri muda unavyosonga mbele, maisha yanafunguka kwa njia ambazo mara nyingi hatutarajii, yakileta masomo na uzoefu ambao hutufanya kuwa kile tulichokuwa kimekusudiwa kuwa. Kwa wengi, miaka ya ujana imejaa hamu ya kuonekana bila...
  4. Bidhaa za Mapambo ya majumbani kwa bei za jumla/kitonga

    Habarini Wakuu, Nimekuja na tangazo langu fupi hapa, Nimefungua group la WhatsApp ambalo ni kwaajili ya wateja wangu ambao nitakuwa nachapisha picha na bei za bidhaa mbalimbali za mapamboo ya majumbani kwa. Bei nafuu sana (I mean nafuu sana) hii inaweza kuwa fursa pia kwa wengine watakaohitaji...
  5. Meza za Sherehe, Viti vya Harusi, Mapambo na mahitaji mengine ya sherehe

    1. Meza ya Sherehe 450,000 (ya mzunguko wa viti 10 -12) 2. Kiti cha sherehe 80,000 (ni kiti cha kilo 7, sio vile vya 50,000) 3. Vitambaa vya Meza 50,000 (rangi mbalimbali) 4. Kreti ya Glasi 100,000 (zipo za kuhifadhi glasi 25, 36 na 49) 5. Viti vya Maharusi 2,500,000 (kutoka nje) 6. Stuli za...
  6. G

    Madini na rasilimali nyingi ni mapambo kama huna watu sahihi. Tunatakiwa tufumue upya mfumo wetu wa elimu

    Ndio maana nchi yetu wanaotajirika zaidi ni wahindi, waarabu, wakenya, chinese, n.k. sisi tumebaki kujisifu nchi yetu tajiri lakini hatunufaiki na huo utajiri, imahine majirani Kenya ndio wanajulikana zaidi kuuza maparachichi nje kumbe wanayatoa huku kwetu, madini ya Tanzanite dili ndefu...
  7. Wakristo Bethlehem alipozaliwa Yesu wabomoa mapambo yote kuomboleza wanaouliwa Gaza na kuunga mkono mashahidi wa Palestina

    Baraza la mji wa Bethlehm alipozaliwa nabii Issa (Yesu) limeamua kubomoa mapambo yote ya krismas yaliyopo eneo hilo ili kuomboleza vifo vya watoto huko Gaza na mauwaji yanayoendelea maeneo yanayowazunguka. Huku mainjinia wa mji huo mtakatifu wakiendelea na kazi ya kubomoa aina zote za mapambo...
  8. Mahitaji ya Mapazia, Bomba zake na Full installation pita hapa

    Habari wakuu, Ikiwa una nyumba yako na unajiuliza ni wapi utapata mapazia au Mabomba ya mapazia pamoja na installation (ufundi) basi leo umepata suluhu kwani sisi tunaweza kumaliza tatizo lako hilo kwa gharama nafuu kabisa. Mapazia yapo ila sitoyapost katika uzi huu bali unaweza kujionea...
  9. L

    SoC02 Mapambo yanayoishi na umuhimu wa Samaki wa mapambo

    MAPAMBO YANAYOISHI UTANGULIZI Katika dunia inayobadilika na uchumi unaoanza kutengamaa baada ya pigo la ugonjwa wa UVIKO-19, ni vizuri kuwaza nje ya njia za kawaida za uzalishaji mali ili kujikwamua kiuchumi. Jitihada mbalimbali zimeshauriwa na wajuzi wa mambo na katika hizo nimeona bora leo...
  10. L

    Hong Kong yaandaa mapambo maalumu ya mji kukaribisha miaka 25 tangu irudi China

    Hivi karibuni mitaa na majengo mengi maarufu huko Hong Kong yamepambwa na bendera ya taifa la China na bendera ya mkoa huo huku shughuli mbalimbali za kusherehekea miaka 25 tangu Hong Kong irudi China, ikiwemo maonyesho ya taa za LED.
  11. L

    Wasanii wanatengeneza mapambo kwa kutumia siagi za rangi (butter sculptures) katika mji mkongwe, Lhasa. Huu ni usanii wa jadi wa utengenezaji wa sanam

    Wasanii wanatengeneza mapambo kwa kutumia siagi za rangi (butter sculptures) katika mji mkongwe, Lhasa. Huu ni usanii wa jadi wa utengenezaji wa sanamu mkoani Tibet kwa kutumia siagi.
  12. Uzuri wa mapambo na mpangilio wa ndani ya nyumba

  13. Siku zinavyozidi kwenda ndivyo Watanzania wanavyozidi kupoteza ari ya mapambano

    Nini kimetokea? Ni mfumo wa elimu au vyakula? Kwenye shule za sekondari watoto wamekuwa kama vikundi vya walokole, hakuna migomo, hakuna vurugu, wanasukumwa kama kundi la kondoo! UDSM hakuna tena 'kunji', sijui hata kama 'revo square' bado ipo. Vijana wanakwenda tu kama kondoo. Wamachinga...
  14. Benki Kuu yatoa onyo kwa wanaotupa hela na kuzikunja kama mapambo kwenye sherehe

  15. C

    Mambo ya usanifu na mapambo

    Habari jamaa. Ninatumai mko njema. Ningetaka kushare hapa ladhaa yangu kwenye architecture and decoration. Labda mtaipdenda na kupata wazo chache. Nipe maoni yako. Kama hautapenda, haina shida, labda siku itakuja , utabadilika wazo. Kama wewe pia, una elements you want to share with me, karibu...
  16. J

    Mwenge - Morocco: Stendi za Daladala 6 na Traffic lights maeneo 10 kama mapambo, Panachosha lakini salama

    Ukitokea Mwenge kuelekea Morocco Traffic lights 1. Mwenge 2. Njia panda ya ITV 3. Bamaga 4. Sayansi 5. Millenium tower 6. Makumbusho 7. Njia panda ya Mwananyamala 8. Njia panda ya Kairuki hospital 9. Njia panda ya Chato ( Vodacom) 10. Morocco Vituo vya Daladala 1. ITV 2. Bamaga 3. Sayansi 4...
  17. Usafi, mapambo na mpangilio wa nyumba: Special thread

    Huu ni uzi maalum wa kupeana ideas, uzoefu na elimu ya kupamba nyumba, namna ya kusafisha ndani na nje ya nyumba, pamoja na mpangilio wa vitu katika nyumba zetu.
  18. M

    Uongozi, madaraka ni mapambo ya muda - usijisahau

    Kiongozi si lazima awe mtu aliye katika nafasi ya mamlaka au mwenye cheo. Kimsingi, dhana nzima ya nafasi na vyeo ni mpangilio wa muda, ambao wakati mwingine hukuzwa mno na kutiwa nakshi isiyo sahihi. Kwa bahati mbaya, wengi wakishapata vyeo/madaraka ‘hupoteza fahamu’ waziwazi! Tumewaona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…