mapandikizi

  1. BARD AI

    Kama tunaweza kuteua Marehemu, inatia shaka suala la Vetting linafanyikaje na je kuna mapandikizi kiasi gani Serikalini

    Kuteua marehemu katika nafasi za serikalini ni ishara ya tatizo kubwa katika mchakato wa vetting au uhakiki wa viongozi wanaoteuliwa. Mchakato wa vetting ni muhimu kwa kuhakikisha kuwa wale wanaochaguliwa kuwa na sifa zinazohitajika, wanakubalika, na hawana dosari zinazoweza kuathiri utendaji...
  2. Sky Eclat

    Tunatekeleza maelekezo ya Rais kwa vitendo, barakoa za mabeberu zina mapandikizi ya COVID19

  3. Dive

    Jinsi picha la kurudia chaguzi Tanzania linavyochezwa

    Watanzania tutazame picha linalolechezwa la kuumalizia mbali upinzani. Ukiangalia wafuatao wamejiuzulu uanachama wao bila sababu mujarabu na chaguzi za wabunge na madiwani zimerudiwa. Akina Mwita Waitara wa jimbo la Ukonga, mbunge wa Monduli, mbunge wa Kinondoni, mbunge wa Liwale. Hii inatupa...
Back
Top Bottom