Jeshi la Polisi mkoani hapa lina washikilia watu wanne kufuatia tukio la vijana wanaodhaniwa kuwa ni wa kundi la Panyarodi kuvamia makazi katika eneo la Bunju B Mtaa wa Idara ya Maji saa 8 usiku wa kuamkia Februari 10, 2023.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dr es Salaam, Jumanne Muliro amesema...