maparachichi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    NAUZA MAPARACHICHI

    Habarii za Muda, Nauza MAPARACHICHI kutoka moshi kwa gunia, noamba kama kuna mhitaji au dalali wa soko lolote Dar au popote tuwasiliane nikuuzie kwa bei nzuri kabisa, gunia ni 65,000 - 80,000 unaweza kupata idadi ya gunia utakazo Mawasiliano 0658644485
  2. L

    Maparachichi mabichi kutoka Kenya hatimaye yafika China

    Kupitia juhudi za pamoja za nchi mbili, shehena ya kwanza ya maparachichi mabichi kutoka Kenya hatimaye yalifika China kwa wingi hivi karibuni. Mapema asubuhi ya Agosti 26, tani 45 za maparachichi mabichi ya Kenya yaliwasili katika bandari ya Waigaoqiao mjini Shanghai. Inatarajiwa kuwa wakazi wa...
  3. Mr Chromium

    Uganda sasa wanazalisha mafuta ya maparachichi. Je, Tanzania tunakwama wapi?

    Ukiangalia katika ubunifu na technologia bado tuko nyuma sana. Kifupi tunamatatizo mengi kuliko majibu (ufumbuzi) Parachichi tulikua tunalima miaka yote mi tangu mtoto!!!..lakini bado tumelala
  4. L

    Kenya Itaanza kusafirisha Maparachichi yake Nchini China Mwaka huu

    Kenya Itaanza kusafirisha Maparachichi Yake Nchini China Mwaka Huu Na Tom Wanjala Halmashauri ya Kilimo na Chakula nchini Kenya imefanya mabadiliko kwenye matakwa ya maparachichi ya kuuzwa nje ya nchi ili kufikia viwango vya kimataifa vinavyohitajika. Baadhi ya masuala ambayo wakulima wa zao...
  5. K

    Kilimo cha Parachichi kinahitaji kufuga Mbwa wengi kuepuka maparachichi kukosa walaji

    Nimepanda parachichi miaka kadhaa iliyopita huko kwetu Kusini, soko ikaporomoka parachichi zikaoza nikakosa pa kuzipeleka nikatamani nifuge Mbwa wanisaidie kula yanapoanguka lakini too late Najuta kuacha kulima miti ya mbao nikadamganyika na faida ya parachichi bila kujiuliza Kuna viwanda...
  6. Ze Bulldozer

    Rais Samia amaliza mgogoro wa miaka kumi kati ya Tanzania na Afrika Kusini

    Kumekuwa na mgogoro mkali wa kibiashara hasa ya Parachichi baina ya Tanzania na Afrika ya Kusini uliodumu kwa mwongo mzima(miaka kumi) sasa bila muafaka wowote. Mtakumbuka February, 2021 kabla ya ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan Jumla ya tani 3.514 za avocados|parachichi toka Tanzania...
  7. B

    Maparachichi ya Tanzania yanavyouzwa nje ya nchi kwa kupewa uraia mpya

    MAPARACHICHI YA TANZANIA YANAVYOUZWA NJE YA NCHI KWA KUPEWA URAIA MPYA Tanzania imejizolea umaarufu kwenye nchi za kiarabu kutokana na maparachichi yanayolimwa na kusafirishwa kutoka kwenye Taifa hili kuwa na ubora wa hali ya juu. Pia Tanzania huzalisha maparachichi mengi kuliko nchi yoyote...
Back
Top Bottom