mapato na matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    RC awaka nyaraka za AMCOS kutuzwa kwenye Jaba

    Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha amewataka Viongozi wa Chama cha Msingi Kisuke katika Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama kusitisha utunzaji wa nyaraka za ofisi katika Jaba lililokuwa katika Ghala la kuhifadhia Zao la Pamba. RC Macha ametoa agizo hilo leo wakati akiendelea na...
  2. Lycaon pictus

    Hivi vyama vya siasa vinawajibika kutoa taarifa ya mapato na matumizi kwa umma? Vinakaguliwa na CAG?

    Ukizingatia kuwa vinapewa ruzuku ambayo ni pesa ya umma. Je vinawajibika kuujulisha umma kuhusu mapato na matumizi? Vinakaguliwa na CAG?
  3. K

    Diwani, toka uwaelezee wanaosema una miaka 10 hujawahi kusoma mapato na matumizi

    Nikaota ndotoni nikajikuta nasema: Diwani, Watu wanasema mengi juu yako. Eti wewe huna elimu ya kutosha kumudu uelewa wa mambo makubwa. Nakuomba, kwa kuheshimu katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 toleo la 2005 ibara 08(1)(a)(b)(c)(d), na kwa kuzingatia ibara 26(1) na ibara 09 a, b...
  4. P

    Ukifuatilia ripoti za ukasanyaji kodi, mapato na mikopo, Tanzania tungekuwa mbali sana kimaendeleo

    Ingawaje nchi nyingi za Afrika ni maskini huku miundombinu, huduma za msingi zikiwa hafifu na wananchi wengi kuishi katika umaskini wa kutisha, viongozi wa Afrika wanafahamika kwa kuishi maisha ya anasa, wanamiliki makampuni na biashara na majumba/magari ya kifahari ambayo hayaendani na...
  5. bullar

    Simba imewezekanaje kuanza msimu bila kusoma mapato na matumizi kwa wanachama wake?

    Hii kitu imenipa maswali kadhaa kichwani je club yetu bado ni ya wanachama au ishakua ya mtu binafsi? imewezekanaje msimu wa 23/24 umeisha na mwingine huu wa 24/25 ume anza bila kua na mkutano mkuu wala kusomewa budget ya mapato na matumizi? Ina maana timu yetu inajiendea tu kama timu ya...
  6. kimara Kimara

    Hivi hali imekuwa ngumu kwangu tu kwenye biashara ama ni pote

    Hivi Wadau haka kaupepo kwenye biashara ni mimi tu ama na kwa Wengine, Hali imekuwa ngumu sana wateja hawaonekani. Mwezi huu tangu uanze hali imekuwa tofauti sana kupita Maelezo, wateja wanaulizia tu hawanunui, Share na mimi mawazo yako.
  7. G

    Mauzo yanavutia lakini kwa faida ya laki 8 na matumizi laki 7 na elfu themanini nimehitimisha najitekenya, nimekubali kipigo till next time

    A. Wastani wa faida kwa mwezi kwenye mauzo - 800,000 B. matumizi - TRA (kwa mwaka) 300,000 leseni (kwa mwaka) 120,000 frem (laki 5 kwa mwezi) 6,000,000 Taka (elf 5 kila mwezi) 60,000 Mshahara wa binti (150,000 kila mwezi) 1,800,000 chakula na nauli (elf 3 kila siku kasoro...
  8. Erythrocyte

    Pre GE2025 Tundu Lissu awauliza Wanakijiji kama waliwahi kusomewa Mapato na Matumizi ya Kijiji chao, Wamjibu Hapana

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, anaendelea na ziara yake ya kuelimisha wananchi huko Iramba, leo ilikuwa zamu ya Kijiji cha Kyalosangi, Kata ya Kinampanda, Iramba Magharibi. Pamoja na kuzungumzia Kikokotoo kwa wafanyakazi, Jambo lililowafanya Askari zaidi ya 50 waliokuwa kwenye...
Back
Top Bottom