Hii kitu imenipa maswali kadhaa kichwani je club yetu bado ni ya wanachama au ishakua ya mtu binafsi?
imewezekanaje msimu wa 23/24 umeisha na mwingine huu wa 24/25 ume anza bila kua na mkutano mkuu wala kusomewa budget ya mapato na matumizi?
Ina maana timu yetu inajiendea tu kama timu ya...