Jina naitwa DENNIS YESSE nina miaka 32 elimu bachelor of science economics population and development chuo mzumbe
Kama kisemavyo kichwa cha habari nina nia ya kuwa Rais wa Tanzania, kwanini nimeonyesha nia ni kupitia sababu zifuatazo:
1. Serekali ya ccm imeishiwa mbinu kabisa za kuitoa nchi...