mapato ya ndani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Ushauri : ili kuongeza ufanisi wa ukusanyaji mapato, TRA igawanywe na kuwa mamlaka mbili, mamlaka ya mapato ya ndani na mamlaka ya mapato ya nje

    Salamu Rais wa JMT, Dkt. Samia Suluhu Hassan Wazir wa Fedha, Dkt.Mwigulu Nchemba Ninayo furaha sana kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na huruma kwa baraka zake kuu tunazoendelea kuzishuhudia katika Taifa letu. Kwa namna ya pekee kabisa ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa amani, umoja na...
  2. The Watchman

    Kigamboni kutenga asilimia 10 ya mapato ya ndani kwa makundi maalumu, wanawake watakiwa kutumia fursa ili kujiimarsha kiuchumi

    Serikali kupitia Halmashauri ya Wilaya ya Kigamboni imekuwa ikitenga asilimia kumi ya mapato ya ndani ili kuwawezesha Wananchi kiuchumi kupitia vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu sambamba na kutoa mikopo yenye Riba nafuu kwa Wajasiriamali wadogo wadogo Ili iweze kuwainua...
  3. The Watchman

    Pre GE2025 Njombe DC: Bilioni 1.16 zakabidhiwa kwa vikundi 92 mikopo ya mapato ya ndani

    Zaidi ya shilingi bilioni 1.1 zimetolewa kwa vikundi 92 vya wanawake,Vijana na walemavu katika Halmashauri ya wilaya ya Njombe ili zikawasaidie kuendesha miradi mbalimbali Fedha ambazo hutolewa kupitia makusanyo ya mapato ya ndani. Fedha hizo ni zile za Asilimia kumi za maelekezo ya serikali...
  4. Stephano Mgendanyi

    Magereza Yapongezwa Kutumia Mapato ya Ndani Utoaji Huduma za Afya

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI, Dkt. Christina Mnzava, amepongeza Jeshi la Magereza kwa kutumia fedha za mapato ya ndani ya Jeshi hilo katika ujenzi wa Hospitali Kuu ya Jeshi la Magereza Ukonga pamoja na kuboresha utoaji wa huduma za afya katika zahanati za...
  5. cleokippo

    machinist chini : pesa za mama samia zinazotokana na 10% ya mapato ya ndani zatafunwa halmashaur ya wilaya ya sengerema

    Chanzo cha habar toka ndani ya ofis ya mkurugenzi halmashaur ya wilaya ya sengerema zinadai kwamba pesa zilizotolewa na mh rais wa jamhuri ya muungano kwa ajili ya kuwainua vijana , akina mama na wazee zinazotokana na 10% ta mapato ya ndani zimetafunwa na ofis ya mkurugenzi wa halmashauri ya...
  6. Stephano Mgendanyi

    Kamati Yapongeza Matumizi ya Mapato ya Ndani Kukamilisha Miradi Tunduma

    KAMATI YAPONGEZA MATUMIZI YA MAPATO YA NDANI KUKAMILISHA MIRADI TUNDUMA. Kamati ya kudumu ya Bunge ya TAMISEMI imeipongeza Halmashauri ya Mji Tunduma kwa kutumia mapato ya Ndani kujenga shule ya Sekondari ya Uwanjani. Pongezi hizo zimetolewa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe.Justin Lazaro...
  7. cleokippo

    DOKEZO Serikali imulikeni Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema pesa zinazotokana na 10% ya mapato ya ndani

    Kumekuwa na simtofaham kuhusiana na pesa zinatolewa na serikali kwa ajili ya kuinua uchumi wa vijana, akina mama , wazee na walemavu katika halmashaur ya wilaya ya Sengerema. Awali kulikuwa na tetes ya kwamba pesa hizo zingetoka kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa lakini mpaka sasa hivi...
  8. Roving Journalist

    Halmashauri ya Kibaha yasema imetumia Milioni 410 ya Mapato ya Ndani kununua Madawati na Meza 4000

    Halmashauri ya Mji Kibaha imeendelea kutekeleza kwa Vitendo maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan kwenye Sekta ya Elimu baada ya kufanya hafla ya kugawa Madawati 2000,Viti na Meza 2000 zenye thamani ya Shilingi 410,000,000 zilizotokana na Mapato ya ndani...
  9. dour

    SoC04 Nini kifanyike kuongeza mapato ya ndani bila kutegemea mikopo katika shughuli za kiuchumi

    UTANGULIZI Ukuaji wa taifa kimaendeleo inategemea zaidi kujitegemea wa taifa kiuchumi na uzalishaji. Tanzania bado inategemea mataifa makubwa kimsaada na kukopa kama njia ya kujipatia fedha, hali hii husababisha serikali kukopa fedha kwajili ya miradi ya maendeleo ikisubiri kutumia makusanyo ya...
  10. K

    Mapendekezo: For better performance, TRA igawanywe zipatikane mamlaka mbili, Mamlaka ya mapato ya ndani na mamlaka ya mapato ya nje

    Tumeona mabadiliko yalifanywa katika wizara au mamlaka ya kupunguza ukubwa wa taasisi au wizara ili kuleta tija na ufanisi. Tumeona wizara iliyokuwa nishati ya nishati na madini ikigawanywa katika wizara ya nishati na wizara ya madini, iliyokuwa wizara ya ujenzi na uchukuzi ikigawanywa katika...
  11. Miss Zomboko

    Baadhi ya mapungufu yaliyopelekea upotevu wa Tsh. bilioni 191.20, katika ukusanyaji wa mapato ya ndani

    Baadhi ya mapungufu yaliyopelekea upotevu wa Tsh. bilioni 191.20, katika ukusanyaji wa mapato ya ndani katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa: A. Kutokana na Ukaguzi maalumu katika ukusanyaji wa mapato ya ndani ya MSM 43 kwa kipindi cha Miaka mitatu (2017/18 - 2019/20), CAG alibaini...
  12. mshale21

    RC Homera: Watendaji wa Vijiji na Kata walioshindwa kufikia kiwango cha ukusanyaji wa mapato wapangiwe kazi nyingine

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, ameagiza watendaji wa Vijiji na Kata walioshindwa kufikia kiwango cha ukusanyaji wa mapato ya ndani kupangiwa kazi nyingine. Homera ametoa kauli hiyo wakati akizungumza kwenye kikao cha Baraza la Madiwani mara baada ya Uongozi wa Halmashauri kutangaza...
  13. Peter Madukwa

    Nachingwea, Lindi: Waziri Mkuu Majaliwa awapongeza wananchi wa Nachingwea kwa ujenzi wa shule maalum ya sekondari kwa mapato ya ndani

    Nachingwea; Lindi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassimu Majalilwa Majaliwa katika mwendelezo wa Ziara yake Mkoa wa Lindi ameweka jiwe la Msingi katika shule maalum ya sekondari ya wavulana Nachingwea inayojengwa katika kijiji cha Chiumbati nje kidogo ya mji wa Nachingwea...
Back
Top Bottom