Sekta ya michezo ya kubashiri (betting) imekuwa moja ya vyanzo vikuu vya mapato kwa serikali ya Tanzania. Kupitia kodi na leseni zinazolipwa na makampuni ya betting, serikali inapata fedha zinazochangia bajeti ya taifa. Kwa mfano, kodi kutoka sekta hii imesaidia kufadhili miradi mbalimbali ya...
Ningependa kuwashauri wahusika yafuatayo. Wapanue wigo wa kuwafikia walipakodi kwa kuwa na mipango ya muda mfupi na muda mrefu kwa kufungua ofisi za mamlaka ya mapato kwenye kata na tarafa hata serikali za mitaa ikibidi, kulingana na wingi wa walipakodi kwenye maeneo hayo.
Kodi za ardhi na...
Katika Mkutano wa wake na Waandishi wa Habari leo 14/6/2024, wakati akitoa uthibitisho alioambiwa aupeleke na Spika wa Bunge ndani ya siku 10, Luhaga Mpina amesema;
"Hapakuwa na usimamizi wa bei nchini kwani hata pale sukari ilipopatikana kwa bei ndogo nje ya nchi bado iliuzwa kwa kubwa hapa...
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia Mtumishi (Mhasibu) wa halmashauri ya Wilaya ya Karatu huku likimsaka mwingine kwa tuhuma kuhujumu mapato ya Serikali kwa kutoa risiti bandia za EFD.
Kulingana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Karatu Juma Hokororo amesema watumishi hao...
Matumizi sahihi na salama ya mifumo ya kieletroniki Serikalini, yametajwa kuwa suluhisho la kudumu katika kuziba mianya ya upotevu wa rasilimali za serikali ikiwemo mapato yatokanayo na vyanzo mbalimbali nchini.
Hayo yameelezwa jana jijini Dodoma na Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba, wakati...
Mfumo mpya wa ulipaji mapato ya Serikali umekuwa ngumu sana kwa Wananchi wa kawaida.
Nitoe mfano, kama Mfanyabiashara anataka kulipia leseni yake kwa mfumo mpya lazima umtafute mtu akusaidie taratibu zote mpaka control number itoke. Mfanyabiashara kwa kazi hii anatozwa mpaka 20,000 kwa kazi...
Huu wizi wa fedha za umma unasitua sana.
Mh Rais Samia amesema wafanyakazi Halmashauri wamejijengea utaratibu wa KUIBIA serikali!
Wizi una baraka zote za TISS, POLISI na watendaji RAS, hadi Mkuu wa Mkoa.
Huu ni wizi wa kuaminiwa na tunategemea serikali kutocheka na nyani!
Tumeshaanza kula mabua!
MIGODI MIKUBWA YENYE UBIA NA SERIKALI YACHANGIA SHILINGI TRILIONI 1.53 KUFIKIA JUNI, 2023
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Nishati, Madini ataka STAMICO iongezwe nguvu
Katibu Mkuu Mahimbali aeleza Mipango Kabambe kuendeleza Sekta ya Madini, aeleza Miradi Mingine Mbioni kupewa Leseni
Dodoma...
Kumekuwa na malalamiko makubwa sana kwa bandari ya Dar es Salaam kukabidhiwa kwa DP World, lakini sababu kubwa zaidi ni wizi wa mapato ya Serikali uliokithiri pamoja na dhuluma kubwa kwa wateja wanaoagiza mizigo bandarini.
Mizigo inayopita bandarini ni mingi sana lakini Serikali imekuwa haipati...
Leo kuna pendekezo limetolewa bungeni ambalo uwezekano wa kutekelezwa kwake ni mkubwa, pendekezo hili lita athiri sana hasa watu wa tech ambao matumizi yao ua internet ni makubwa.
Aliependekeza Si mwengine bali ni Zungu naibu spika wa bunge letu ambae aliwahi kupendekeza pia kuwe na tozo kwenye...
Binafsi nimekaa na kutafakari sana kuhusu Serikali yetu inapambana kuanzisha mifumo ya kielektroniki ili kurahisisha utoaji wa huduma zake. Mimi pia nimenufaika moja kwa moja kwa jitihada hizi maana napata/nalipia huduma za Serikali kwa njia rahisi sana huku nikiwa naendelea na shughuli zangu...
Juzi Rais Samia ametangaza tozo ya shilingi 100 kwa kila lita moja irejeshwe katika kodi ya mafuta.
Hapohapo wafanyabiashara wa mafuta hayo hawajalalamika bali wamefurahi maana wao wapata faida zaidi.
Licha ya kodi hiyo ya mafuta, gharama za maisha kwa ujumla zimepanda na mfumuko wa bei uko...
Mapato ya Serikali huyatakiwi kupelekwa kwenye miradi kabla ya kuwasilishwa kwenye Mfuko Mkuu wa Mapato ya Serikali ili kuwa na taarifa sahihi za mapato na matumizi
Kutowasilisha mapato ya serikali ni kwenda kinyume na Ibara ya 135 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Vitendo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.