Kutokana na udhaifu katika mifumo ya ukusanyaji wa mapato, kuna uwezekano mkubwa wa Serikali kupoteza TZS 265.85 bilioni kutokana na vitendo vya rushwa, udanganyifu na ubadhirifu.
Katika Serikali Kuu, kumekuwa na ongezeko la upotevu wa mapato kutoka TZS 7.70 bilioni kwa mwaka...