mapato

The Natural Gas Revenue Fund (NGRF) is the proposed sovereign wealth fund of Tanzania expected to be launched in October 2014 or February 2015 after the enactment of a bill by the National Assembly. It will manage the revenue accrued from the sale of its natural gas. As of April 2014, Tanzania has a recoverable gas reserve of 43.1 tcf. The fund will be managed by the Bank of Tanzania. However, according to PFC Energy, 25 to 30 trillion cubic feet of recoverable natural gas resources have been discovered in Tanzania since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Dodoma yaporomoka kimapato, yawa ya mwisho

    Halmashauri ya jiji la Dodoma mwaka Jana robo kama hii ilikuwa ya kwanza Kwa ukusanyaji Kati ya majiji yote, mwaka huu yawa ya mwisho. Na kimkoa yawa ya pili toka chini, kulikoni? Nini kimeshusha mapato kiasi hicho? Je wawekezaji wameondoka? Hata viwanja bei imeshuka kulikoni? Msigwa Kesho...
  2. Ripoti ya CAG: Mapungufu katika ukusanyaji wa mapato

    Ripoti ya CAG inaonesha makusanyo ya Mapato ya Mamlaka ya Serikali za Mitaa kuongezeka kwa 11%, kutoka Tsh. Bilioni 639.4 mwaka 2018/19 hadi Tsh. Bilioni 703.9 mwaka 2019/20 Licha ya kuongezeka kwa ukusanyaji wa Mapato, kumekuwepo changamoto mbalimbali. Mapato ya Tsh. Bilioni 23.88...
  3. Bila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara, Rais Samia aweka rekodi ukusanyaji mapato

    Rais Samia bila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara ameweka rekodi mpya ya ukusanyaji mapato | TRA yakusanya kodi ya TZS 2T mwezi Sept 2021,kazi iendelee|| "Hakuna kama Samia " Wakati Hayati Rais Mkapa anaondoka madarakani Serikali yake ya awamu ya tatu ilikusanya wastani wa Tshs 322BL kwa...
  4. Serikali inapoteza mapato kwa Feitoto

    Hoja imekuja kwamba hakuna mtanzania mwenye udambwi udambwi kama huu, huyu kijana afanyiwe uchunguzi ijulikane kama ni raia wa senegal au ivory coast au brazil basi alipiwe zile ada wanazolipiwa wachezaji wa kigeni serikali iiskose mapato kizembe
  5. Timu zilizoongoza kwa mapato ya mlangoni 2020/21 Vpl na Fdl hizi hapa

    Zione na uone utofauti ulivyo
  6. Mapato ya SGR yazidi kupaa, yaongezeka zaidi kwa asilimia %

    Ngoma inazidi kunoga.... Revenue generated from the standard gauge railway (SGR) rose 25 percent in the seven months to July, driven by increased imports. Latest data from the Kenya National Bureau of Statistics (KNBS) shows that revenues rose to Sh9.08 billion from Sh7.2 billion in similar...
  7. Mapato ya mkeo/mpenzi wako yamekusaidiaje katika uhusiano?

    Mapato ya mkeo/mpenzi wako yamekusaidiaje katika uhusiano wako? Wengi tunapenda kuoa wanawake wenye kazi au wenye vipato, Je kwenye mahusiano yenu, wewe mwanaume unayatumiaje mafao/fedha zake, au fedha zake zimekusaidiaje katika kuimarisha uhusiano wenu?
  8. K

    Ni lini serikali itaanza kukusanya mapato yatokanayo na biashara kongwe ya ukahaba?

    Nilimsikiza mama Samia akiwaambia wananchi wa Kawe kuwa wahisani wamepunguza misaada na kwahiyo kwa sasa lazima tubanane sisi kwa sisi humuhumu ndani ya nchi. Kwa namna nyingine ni kama mama aliamua kuwaelezea wananchi wake ukweli kuwa hizi tozo hazitakoma hivi karibuni. Mimi naishauri...
  9. SoC01 Vyanzo vipya vya mapato kwa Serikali

    Utangulizi Ninasikitishwa sana na utendaji wa Wizara ya fedha katika suala zima la uandaaji wa bajeti kwa Serikali ya Tanzania. Kila mara bajeti inaposomwa Bungeni na Waziri wa fedha pamoja na mambo mengine, huwa inakuwa na ongezeko la kodi/tozo kwenye bidhaa zile zile ambazo zimeguswa na...
  10. J

    Naibu Msajili: Vyama vya siasa vingi haviweki fedha benki, hii ni kinyume cha sheria

    Naibu msajili wa vyama vya siasa, Sisty Nyahoza amesema katika uhakiki wa vyama vya siasa unaoendelea nchini wamegundua vyama vingi havihifadhi fedha za chama benki badala yake wanatumia njia za kienyeji kuhifadhi mapato ya vyama vyao. Nyahoza amesema sio utaratibu wa kisheria na amevitaka...
  11. Wanawake wapo hatarini kufanyiwa ukatili wanapokosa mapato kukidhi mahitaji yao

    TAMWA imebaini kwamba asilimia kubwa ya wanawake wanakuwa katika hatari ya kufanyiwa ukatili wanapokosa elimu, chanzo cha mapato ya kukidhi mahitaji yao. Katika sikukuu ya shirika la ILO 28 April 2018, Mkuu wa UN Women Phumzile Mlambo-Ngeuka alinukuliwa akisema kwamba; "Ukatili dhidi ya...
  12. C

    SoC01 Njia zinazoweza kutumiwa na Serikali kupata mapato badala ya kuwakamua Watanzania kwenye tozo

    Serikali zote Duniani ni lazima ziwe na vyanzo vya mapato vya uhakika vya kuendeshea Serikali mapato hayo ni muhimu kwa sababu ndiyo yanayojenga barabara,yanayonunua silaha,yanayonunua madawa na kulipa mishahara na posho watumishi wa umma na wanasisa.Hivi karibuni kumeibuka mjadala kuhusu...
  13. K

    Tozo za Miamala: Dkt. Mwigulu, una hakika Watanzania wanakusoma?

    Mh Rais Mama Samia Suluhu Hassan alitoa Homework Juu ya Tozo la Miamala Wewe na Timu yako Mnaohusika mliangalie Upya Suala hili, sio Kufuta bali kupunguza Makali Ya Tozo. Badala yake Kwa Kudemka Kabisa unakuja na mahesabu ya Mabilioni Yaliyokusanywa, Kwamba Yamepelekwa kusaidia hiki na Kile...
  14. SoC01 Pendekezo: Serikali iweke Tozo kwa Wamachinga kukabiliana na changamoto kwenye Majiji na Miji

    Kwa miaka mingi serikali imekuwa ikipambana na tatizo la wajasiriamali wadogo wadogo (maarufu kama wamachinga) ambao wametapakaa kwenye miji mikubwa ya nchi hii. Ukiangalia kwa jiji kama Dar es salaam, imekuwa sasa ni kawaida kuona mabanda ya wamachinga karibu kila kona unayokatiza. Ni kweli...
  15. Mapato ya huduma ya SGR yaongezeka kwa asilimia 33%

    Inatia moyo sana.......... SGR passenger train on the Miritini Bridge along the Mombasa-Nairobi route. FILE PHOTO | NMG Revenue generated from cargo and passenger services on the standard gauge railway (SGR) rose by 33 percent in the six months to June, lifted by a rebounding economy, official...
  16. Kibonzo; wenye dhamana na mapato ya serikali wanahakikisha makusanyo hayafiki Benki

  17. Harmony OS haijaisadia Huawei, mapato yashuka kwa 30%

    Katika kujitutumua na vikwazo vya USA Huawei walikuja na Os Yao ya Harmony Kwa ajili ya simu. Huawei waliisifia OS Yao kuwa iko fasta kuliko android na baadhi ya wachambuzi waliona OS ya Huawei ni mshindani wa android. Mpaka sasa Huawei imetangaza Hasara ya Pauni za Uingereza bilioni 35, Sawa...
  18. Orodha ya Miji na Wilaya zenye mzunguko mkubwa wa Fedha na Uhakika wa Mapato

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Tanzania. Ifuatayo ni List ya Miji,Majiji,Manispaa na Wilaya 50 Kati ya 184 ambazo zina mzunguko Mkubwa wa fedha na kwamba wananchi wake Wana kipato cha uhakika na hivyo kuwa maeneo yanayofaa zaidi kwa fursa za biashara mbalimbali. Mpangilio umewekwa kwa...
  19. TAMISEMI: Halmashauri zibuni vyanzo vipya vya mapato bila kuwakera wananchi

    WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Ummy Mwalimu ametoa maelekezo 10 kwa Halmashauri za Majiji, Manispaa, Miji na Wilaya ya kuimarisha ukusanyaji mapato na upelekaji wa fedha za maendeleo kwenye miradi inayogusa wananchi. Akizungumza leo na...
  20. Ushauri: Idadi ya Wabunge ipungue ili kupunguza gharama za mishahara na kuwahudumia

    Tanzania haihitaji watu wengi kwenye bunge. Kinachohitajika ni mawazo sio wingi wa wabunge bungeni. Huwa nafundisha kila siku na nitaendelea kufundisha kwamba dunia huongozwa na mawazo haiongozwi na wingi wa watu. Tukipunguza idadi ya wabunge bungeni tutaokoa fedha nyingi sana ambazo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…