mapato

The Natural Gas Revenue Fund (NGRF) is the proposed sovereign wealth fund of Tanzania expected to be launched in October 2014 or February 2015 after the enactment of a bill by the National Assembly. It will manage the revenue accrued from the sale of its natural gas. As of April 2014, Tanzania has a recoverable gas reserve of 43.1 tcf. The fund will be managed by the Bank of Tanzania. However, according to PFC Energy, 25 to 30 trillion cubic feet of recoverable natural gas resources have been discovered in Tanzania since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Serikali fanyeni yafuatayo kupata mapato badala ya kuleta kodi za kuumiza Watanzania

    Mkitaka serikali yetu ipate mapato kama mnavyotaka badala ya kuleta kodi za kuumiza watanzania fanyeni yafuatayo 1. Zuieni leakage ya kodi zinazotozwa kwa wafanya biashara, Bandarini, Kwenye manunuzi ya umeme, maji, usafiri wa reli, kwenye Masoko, n.k 2. Zuieni leakage ya kodi zinazotozwa...
  2. Spika Ndugai, hamkuona uvuvi wa bahari kuu unaweza kulipatia taifa mapato kuliko kuwakakamua wananchi?

    Nimeshangazwa sana na kauli ya spika wa bunge la JMT kupigia chapuo tozo za miamala ya simu kwa madai kuwa eti ni muhimu kwa maendeleo ya jimbo la Kongwa na taifa letu. Mbaya zaidi anadai eti hana uhakika kama kuna vyanzo vingine vya mapato zaidi ya kuwakamua wananchi kupitia tozo za miamala ya...
  3. Wakiambiwa wabuni vyanzo vya mapato wanafikiria kuongeza kodi?

    Sasa ukiongeza kodi ndiyo umebuni nini? Kuna ubunifu gani hapo? Badala ya kuumiza kichwa uchumi ukue ili uweze pata kodi ya kutosha wewe unaongeza kodi, ambayo nayo ni hatari kwa uchumi kukua, harafu unasema 'tumebuni' vyanzo vya mapato! Tutafute njia za kutumia rasilimali zetu kukuza uchumi...
  4. Kuna vyanzo vingi vya mapato serikali ingeweza kuvibuni bila kuongeza kodi

    Kando ya barabara zote kunaweza kujengwa maduka yakapangishwa wamachinga. Hili linaweza kusimawa na halmamashauri za Wilaya. Majengo yakiwa ya kuvutia yatafanya mji uwe safi. Pia kujenga vyoo vya kulipia, kwa wenye maduka wataingia bure kwani kodi yao inachangia huduma za choo. Halmashauri...
  5. SoC01 Serikali itumie wafungwa kama chanzo cha mapato. Iondoe Kodi inayokata kwenye Miamala ya Simu

    Wafungwa ni watu wanaotumikia vifungo mbali mbali katika magereza zilizopo nchini Tanzania kote. Wafungwa hawa wana ujuzi tofauti tofauti kwa kusomea ama kwa kujifunza mtaani, wengine ni engineers, nurses, wahasibu, doctors, mafundi kama fundi bomba, fundi nyumba, fundi kupaua, na wengine wana...
  6. Ukosefu wa ufanisi katika Makusanyo: Serikali imeona ambapo haiwezi kupoteza mapato ni kwenye simu

    Serikali inapoteza karibu Tsh. 3Trn kwa mwaka ktk bandari ya Dsm kwa sbb ya kukosa ufanisi wa kukusanya kodi na rushwa. Maeneo mengi serikali haijawekeza teknolojia ktk kukusanya mapato, hivyo kukosa hata 30% ya lengo. Ambapo serikali haiwezi kupoteza mapato ni kwenye simu. Cyril
  7. Uzi wa kubuni vyanzo vipya vya mapato visivyoumiza Watanzania

    Huu ni uzi maalum wa kila mwenye wazo au chanzo kipya cha mapato kwa ajili ya serikali yetu ambacho hakitasumbua wala kuumiza watu. Maana hii kazi inabidi iwe ya Watanzania wote na inabidi uwe mjadala wa wazi mahali popote ili watu watoe mawazo ya kujenga nchi. Na sio kuleta kodi za kuumiza...
  8. SoC01 Ushauri wangu kwa Serikali kupitia TRA

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Nianze na angalizo kuhusu andiko langu hili kuwa sio la kielemu wala kitaalam ni mawazo yangu binafsi ninavyotamani kuona kama yanaweza kuonesha njia ya mabadiliko kwenye ukusanyaji wa mapato nchini. Nikirejea motto wa mamlaka ya mapato...
  9. Rais, Makamu wake na Waziri wa Fedha wamepata sup kwenye Uchumi

    Bunge "dhaifu la Ndugai" limekubali kwa kauli moja maombi ya serikali ya kuongeza kodi ya TSZ 100/= kwenye kila lita moja ya mafuta kama chanzo kipya cha mapato. #SWALI: Je, kulikua na ulazima wowote wa kuongeza TZS 100/= kwenye bei ya mafuta katika bajeti ya mwaka huu? #Jibu ni HAPANA kwa...
  10. Rais Samia Suluhu Hassan: Serikali kufanya mazungumzo kuendeleza mradi wa bandari ya Bagamoyo

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa serikali ipo katika mazungumzo ili kuweza kuendeleza mradi wa bandari ya Bagamoyo. Hayo ameyasema leo Tarehe 26, 06. 2021 wakati wa hotuba yake katika mkutano wa 12 wa baraza la biashara. Rais Samia amesema pia hiyo itakwenda sambamba na mradi wa Mchumchuma...
  11. Revenue Intelligence Bureau (RIB) suluhisho la upotevu wa mapato ya Serikali

    Ila ana point kweli huyu mwamba, maana hv ndo tunaweza kuepukana na simcard tax za Mzee Mwigu. Kwa hio kajamaa kanamaanisha na sisi Tanzania tutakuwa na ka CIA ketu na ka FBI au sio? Ila sisi ni kwenye mambo ya hela. Sawa, nimekuelewa. === REVENUE INTELLIGENCE BUREAU (RIB) (Kumradhi Mama...
  12. Ushauri: TRA waweke tozo na kuruhusu magari ya IT (in-transit) kubeba abiria

    Ndugu zangu kutokana na wingi wa abiria wa usiku, na uchache wa mabasi yafanyayo safari mda wa usiku, kuepuka ajali kama ya Costa ya Morogoro jana, napendekeza TRA waweke tozo ya gari ndg (IT) kulipia tsh 30,000/; na gari Kama Noah tsh 50,000/ Costa tsh 80,000/; wapewe kibali kupakia abiria...
  13. S

    Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba, kukata hela katika muda wa maongezi ni chanzo cha mapato

    Kuna kitu ambacho sikielewi kwa hawa viongozi wetu hususani katika Muhimili wa Bunge, hawa wabunge hawalipi kodi yoyote katika posho zao na wanapokea posho nyingi tu ambazo hazina makato. Lakini cha ajabu wanapopewa jukumu la kubuni vyanzo vya mapato kwao uwa ni mtihani mkubwa sana japokuwa...
  14. Ni lini vyuo vyetu vya elimu ya juu vitakua chanzo cha mapato kwa Taifa kwa kusajili wanafunzi nje ya Tanzania?

    Kumekua na ongezeko kubwa la vyuo vya elimu ya juu, tofauti na idadi tuliyokuwa nayo mpaka miaka ya 90. Licha ya elimu nje ya bara la Afrika, kuna waliobahatika kupata elimu ya juu katika nchi za Afrika hususan Makerere Uganda, Kenyata Kenya, Afrika ya Kusini, Nigeria, Misri, Botswana. Hizi...
  15. Teknolojia ya kisasa ndiyo sababu ya nchi za Ulaya kukusanya mapato kwa ufasaha

    Kuwepo kwa teknolojia za kisasa kumesaidia kuleta mapinduzi makubwa kupindukia katika ukusanyaji wa mapato katika mataifa yao ya Ulaya. Hawa jamaa zetu wamefanikiwa kupunguza cash transactions kwa 80%, hivyo kusababisha fedha zote kuingia katika mfumo sahihi hivyo kukatwa kiasi kidogo cha kodi...
  16. #COVID19 Luhaga Mpina: Corona isiwe kwa wazembe kukusanya mapato ya Serikali

    Mbunge Luhaga Mpina ametahadharisha mlipuko wa COVID19 usiwe kinga kwa watu waliozembea kukusanya mapato ya Serikali kwa kisingizio cha Ugonjwa huo. Katika mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Fedha, Mbunge huyo amehoji namna Wizara hiyo inafuatilia ili kujiridhisha pale inapoambiwa sababu ni Virusi...
  17. Ni zipi nukta muhimu kuonekana kwenye daftari la mapato na matumizi?

    Habari wanao! Nina biashara ya mashine ya kukoboa mahindi na kusaga. Nimeanza mwezi wa tatu mwaka huu, tatizo bado sijafahamu namna bora ya kuziweka hesabu kwenye daftari. Na lengo hasa ni kutengeneza mahesabu yatakayo tumika kufanyiwa makadrio TRA. Naomba wenye uzoefu mnisaidie. ASANTENI.
  18. Kwanini TRA sasa hawatangazi mapato ya kikodi ya kila mwezi kama ulivyokuwa utaratibu?

    Mazoea yana tabu na ukikosa kitu ama jambo ulilolizoea pia huja maswali. Mimi jitombashisho nataka kujuzwa na TRA ni kwanini takribani miezi miwili sasa hamtoi taarifa juu ya mapato ya kila mwezi?!
  19. D

    Urasimu mpya unaletwa kupitia kauli ya uli 'Mfumo Unasumbua'

    Habari, Mungu nakutumaini wewe tu. Hivi nani anasimamia mifumo ya fedha za Serikali kimtandao? 1. Wapo wanaocheleweshewa malipo wakiuliza majibu ni mtandao unasumbua au network ipo down. 2. Wapo wanao subiri check namba kwa muda mrefu. 3. Wapo wanao subiri mafao ya kustaafu 4. Wapo...
  20. W

    Kuna dalili Serikali inapoteza mapato mengi sana kupitia hizi stamp za bidhaa

    Niende moja kwa moja kwenye mada hapo juu kama kichwa cha habari kinavyosema, serikali ya nchi yetu inajitahidi sana kufikia malengo yaliyojiwekea kwenye ukusanyaji wa mapato,kupitia bidhaa zinazolishwa viwandani, na hata pia kwa watoa huduma yani ( service product) TRA wameweka mfumo fulani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…