mapato

The Natural Gas Revenue Fund (NGRF) is the proposed sovereign wealth fund of Tanzania expected to be launched in October 2014 or February 2015 after the enactment of a bill by the National Assembly. It will manage the revenue accrued from the sale of its natural gas. As of April 2014, Tanzania has a recoverable gas reserve of 43.1 tcf. The fund will be managed by the Bank of Tanzania. However, according to PFC Energy, 25 to 30 trillion cubic feet of recoverable natural gas resources have been discovered in Tanzania since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Naungana na Yanga, Simba mkichukua mapato ya mechi iliyoahirishwa mlaaniwe

    Watatokea wajinga hapa watasema mimi ni utopolo ila jana Yanga mmmetusitiri Watanzania tusiopenda dharau mmetupa heshima nimefuwarahia sana. Sasa nataka kujua kama team yangu ya simba itachukua zile hela za jasho la maskini walioingia uwanjani saa tano mechi ikaahirihishwa ili tu wafatilie...
  2. Tatizo la kupokea mamluki alilizalisha Mbowe mwaka 2015. Huyu mwenyekiti hafai

    Mwaka 2015 Mbowe alifanya juu chini ili ampe nafasi Lowassa ya kugombea urais. Na ndipo hapo akakaribisha mamluki kibao toka CCM ambao walikuja kuharibu morali na nguvu tuliyokuwa nayo makamanda tuliotaka ukombozi wa kweli. Leo hii wanarudi CCM na kutuacha tena kwa dharau na kebehi. Mimi nasema...
  3. USHAURI: TRA ianze kutoa Takwimu za Mapato kila mwezi ili kwendana na kasi ya Rais Samia

    Salaam TRA. Mama took office in late March. Kwa hiyo ni vigumu kumwekea mzigo wa March 2021. Naomba mambo yake yaanze Aprili 2021. Msimchoshe na mambo ya nyuma, yaani kabla ya April 01. Ombi langu kwa TRA, kindly update the nation. Mmekusanya sh ngapi Mwezi Aprili?
  4. Kampuni ya Pfizer yasema inatarajia mapato ya dola bilioni 26 mwaka huu kutokana na mauzo ya Chanjo ya Corona

    Wanatarajia chanjo yao kuwa ‘income booster’ kwa miaka mingi ijayo; na wanatarajia kuingiza jumla ya mapato ya dollar bilioni 26 kwa mwaka huu peke yake. ======= Pfizer coronavirus vaccine revenue is projected to hit $26 billion in 2021 with production surge By Christopher Rowland May 4, 2021...
  5. Kujiongezea mapato Serikali ianze kujenga Magereza ya kulipia kwaajili ya wafungwa wenye pesa zao

    Magereza jengeni magereza ya kulipia kwa wenye pesa wanaopenda Mfano ni huu wa Marekani
  6. Rais Samia najua mapato ya mwezi wa 4 umeyaona tayari. Kariakoo wanakuangusha

    Naomba ku-declare interest. Mimi binafsi nampenda na kumkubali Sana Mama Samia hivyo kwa nguvu na uwezo nilionao sitakubali hujuma yoyote kwake. Nchi inaendeshwa kwa Kodi, hivyo kauli ya mama Samia kusema tutumie akili kukusanya hakumaanjsha tusilipe Kodi na badala yake mapato kupungua na...
  7. Chris Lukosi katoa ushauri mzuri jinsi TRA wanavyokosa mapato

    Yeereeeeeh! Chris Lukosi Mfanyabiashara Mtanzania maarufu Uingereza ametoa ushauri mzuri kwa TRA na kusikitika jinsi wanavyokosa mapato mengi kupitia bandarini. Anasema alitoka bandarini huko Uingereza akahesabu magari 250 kwenye meli yaliyokuwa yanaletwa bandari ya Dar na Mombasa. Kati ya...
  8. J

    Je, Serikali ya mtaani kwako hutoa taarifa za mapato na matumizi ya fedha?

    Serikali za mitaa zina wajibu wa kuandaa bajeti, kutunza fedha na kutoa taarifa katika vikao husika na kubandika katika mbao za matangazo kuhusu mapato na matumizi ya fedha kwa kila kipindi cha mwaka wa fedha kinapoisha. Ni wajibu wa kila mwananchi kufuatilia taarifa hizo ili kulinda maendeleo...
  9. 4% ya mapato kwenda Zanzibar kama Hoja ya Muungano

    Kuna hoja nimekuta watu wanaongea, ni kuhusu kile ambacho mama amesema waziri wa fedha akakae na mwenzake wajadili na kusuluhisha katika kero za muungano. Ninaupenda sana Muungano,ninauunga mkono. lakini, nilijiuliza kitu kimoja, mimi kama mtu wa bara sitaki tupigwe pia kama wazenji wasivyopenda...
  10. U

    Why Rayvanny anajisifu kuuza sana online wakati mapato hayo mengi yanaenda kwa Platnumz?

    Nimesikia haya Mambo kuwa Rayvanny anaongoza mauzo katika digital platform, ni kweli lakini mi sioni kama ni hoja. Sawa anauza sana hata Zuchu anauza sana lakini kuna hasara yake kwa upande mmoja au mwingine, asilimia kubwa ya mauzo ya Rayvanny na Zuchu yanakwenda kwa Diamond , so hata kama...
  11. F

    CAG asikague mahesabu tu, bali adhibiti mapato na matumizi ya fedha za serikali pia

    CAG ni mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serilali lakini mara nyingi inaonekane GAC anakagua mahesabu ya serikali, lakini hafanyi udhibiti wa matumizi ya fedha za serikali. Kazi ya CAG inapaswa pia kudhibiti jinsi fedha za serikali zinavyotumika, la sivyo naona hatutaondokana na haya...
  12. L

    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) ana mtihani mkubwa sana akifanikisha hili anastahili tuzo

    Upande mmoja anatakiwa atumie akili na hekima kukusanya kukusanya kodi kwa maelekezo ya Rais. Upande wa pili ni lengo la trilioni 2 kwa mwezi kwa maelekezo ya Makamu wa Rais. My take: Siku zote mfanyabiashara lengo lake ni kutengeneza faida kubwa hapa naongelea "Big potatoes" au...
  13. Ili kuongeza ajira na mapato, Serikali iruhusu biashara kufanyika saa 24

    Serikali kuongeza ajira na mapato iruhusu biashara kufanyika masaa 24 Hii itafanya uchumi uende haraka
  14. Ili kupata kodi ya mapato ya trilioni 2 na zaidi, Serikali itumie sensa kikamilifu na itambue raia wanaozaliwa na wanaotimiza umri wa miaka 18.

    Suala la sensa katika nchi yoyote ile ni muhimu sana. Sensa hutoa picha halisi ya idadi ya watu katika nyumba katika nchi nzima. Sensa pia hutoa taarifa rasmi ambazo zitasaidia serikali kupanga namna ya kutoa huduma mbalimbali nchini kama usafiri, elimu na afya. Hivyo kila nyumba katika nchi...
  15. TRA Arusha wanahujumu mapato ya Serikali

    Kwa utafiti wa siku nne niliofanya TRA Arusha hususani idara ya Dept Management ambao pia nimehusisha baadhi ya wateja waathirika wenzangu nime note deliberate sabotage ya mapato ya serikali inayofanywa na wafanyakazi haswa kwenye issue ya TAX clearence. Katika utafiti wangu nimebaini...
  16. Je, kuna mkono wa Serikali katika kuongeza bei ya vifurushi? Serikali kuja na mfumo wa kudhibiti simu za WhatsApp

    Siku chache zilizpita Kampuni za Simu za Tanzania; Vodacom, Tigo na Airtel n.k ziliongeza bei za vifurushi na kusabisha taharuki kwa watu wengi kwa bei hizo zilipanda maradufu. Serikali na Taasisi zake zilisubiriwa sana kuja kuzungumzia suala hilo, badala yake TCRA ikaja na chapisho la kuonesha...
  17. J

    Dkt. Kimei: Wizara za Kilimo na Viwanda kupewa 6% ya bajeti will never work. Ukusanyaji mapato ni mdogo, au huenda GDP ya Tanzania iko overstated

    Sikilizeni mchango wa Dr.Kimei bungeni. Kuna mambo hayako sawa katika mikakati yetu ya uchumi. === Tunapoangalia mipango hii mara nyingi huwa tunatumia cash budget sasa tukianza kuzungumza mpango kwa kianzia kwenye matumizi kwa kuorodhesha vitu gani tunataka vifanywe mimi naorodhesha kwanza...
  18. S

    Naomba kuelewa mapato ya acre moja ya kila zao kwa mwaka: kahawa, korosho, migomba na parachichi

    Members wakulima na wazoefu wa hayo mazao, Naomba kuelewa kama muongozo kwa ufupi mapato ya wastani kwa mwaka kwa kila zao hapo juu. Naomba tu share uzoefu wetu kwa manufaa yetu sote.
  19. Mapato ya Mjusi Wetu

    "TUNATAKA MAPATO YA MJUSI WA TANZANIA AMBAYE YUKO UJERUMANI" - YouTube ''WABUNGE Kumi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameanzisha kamati maalum ya kuhakikisha sehemu ya mapato ya utalii yanayotokana na mabaki ya mjusi mkubwa aliyeko katika jumba la makumbusho Mjini Berlin nchini...
  20. Huduma ya kusambaza maji imewashinda mmeamua kufanya biashara ya kuuza mabomba kwa Wananchi

    Napenda kuishauri serikali kuu kuzuia taasisi zake kuacha biashara ndogo ndogo kwani kufanya hivyo ni kuzuia kukua kwa biashara na wajasiliamali kwa ujumla hivyo kupunguza mzunguko wa pesa na kuikosesha serikali kodi. Mfano shirika la kusambaza maji Morogoro MOROWASA linalazimisha wananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…