mapato

The Natural Gas Revenue Fund (NGRF) is the proposed sovereign wealth fund of Tanzania expected to be launched in October 2014 or February 2015 after the enactment of a bill by the National Assembly. It will manage the revenue accrued from the sale of its natural gas. As of April 2014, Tanzania has a recoverable gas reserve of 43.1 tcf. The fund will be managed by the Bank of Tanzania. However, according to PFC Energy, 25 to 30 trillion cubic feet of recoverable natural gas resources have been discovered in Tanzania since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Huu mfumo unachangia upotevu wa mapato na wizi Serikalini

    Tanesco wanazalisha umeme na kuuza kwa taasisi za Serikali. Taasisi za umma zinakusanya pesa na kuziwasilisha hazina moja kwa moja, lakini Tanesco wanakwenda kwenye taasisi za umma kukata umeme kwa sababu wameshindwa kullipa bili huku pesa za kulipa bili zikitoka hazina. Kwa bajeti ya umeme...
  2. Wakuu wa Mikoa ambao Halmashauri zao zimekusanya mapato chini ya 50% wafanye tathmini

    Serikali imewataka wakuu wa mikoa ambao halmashauri zao zimekusanya mapato chini ya asilimia 50 wafanye tathimini na kuweka mikakati ya kukusanya mapato zaidi katika vipindi vilivyosalia ili kufikia malengo ya mwisho wa mwaka. Pia imewataka wakurugenzi wa halmashauri ambazo hazijafikia asilimia...
  3. Ni nini kinafanya Kenya (KRA) kukusanya mapato zaidi ya Tanzania (TRA)?

    Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza "Ni nini kinafanya Kenya kukusanya mapato zaidi ya Tanzania?" Kwa muda nimekuwa mfuatiliaji wa Budget wa nchi za Jumuiya ya AFRIKA MASHARIKI. Katika ufuatiliaji huo nimekutana na maswali ambayo nimekuwa siyapatii majibu. Kwa kutumia nchi mbili KENYA na...
  4. Wizara zipimwe kwa mambo mawili ya ziada kuongeza mapato ya serikali na kuongeza ajira

    Pamoja na majukumu ya kawaida ya wizara lakini kila wizara upimwe inaongezaje mapato ya serikali na inaongezaje ajira
  5. Wazo na Ushauri: Serikali ikisimamia na kutoa elimu vizuri vitambulisho vya wamachinga, inaenda kuvunja rekodi nyingine kukusanya mapato

    Naomba nitoe ushauri kuhusu vitambulisho vya wamachinga. Kwa kifupi Watanzania wengi atupendi kulipa kodi sasa inahitajika elimu na kueleweshwa na kupewa mazingira rafiki kulipa kodi. Niende kwenye main point yaani wafanyabiashara wadogo wameongezeka kwa kiasi kikubwa mno kila kona wamepata...
  6. J

    Haiwezekani Serikali nzima iwe inakusanya mapato; tutajenga taifa la watu maskini na fukara!

    Kimsingi kazi ya kukusanya na kusimamia mapato ya Serikali ni ya Wizara ya fedha na taasisi zake. Lakini kwa sasa kila waziri amejigeuza kuwa mtoza ushuru au mkusanya tozo na kuacha majukumu yao muhimu ya kusimamia ustawi wa jamii katika sekta zao. Jana nimemsikia Waziri wa Mawasiliano na...
  7. Kwanini Watu Hawapendi Kulipa Kodi Ya Mapato!?

    Habari zenu Makala hii naileta ikiwa katika muundo wa swali ambalo kama jamii na wenye mamlaka pia wanapaswa kujiuliza na hatimaye kutafuta njia sahihi za kuifanya jamii ione na iamini ya kuwa kulipa kodi ya mapato ni wajibu wa kila anaestahili na si kwa watu wachache tu kama wafanyabiashara...
  8. D

    Waziri Mpango umenena kuhusu Mamlaka ya Mapato Tanzania

    Nimemsikiliza Waziri Mpango wakati akiongea na maafisa wa TRA nchini kuhusu kukusanya kodi na kufikia lengo la tr.2. Nimependa na kuafiki kwa vile miradi mingi itakamilika kwa fedha ya ndani. Kitu ambacho amewaasa maafisa hao wazingatie ni kukusanya kodi kwa weledi, uaminifu na kwa hekima na...
  9. Ushauri kwa Wizara ya Fedha ili kufikia lengo la kuwa na mapato mengi ya ndani

    Nimeona Video ambayo Waziri wa fedha anawaambia watu wa idara zote zinazohusika na ukusanyaji wa mapato ya kodi na yasiyo ya kodi ya serikali kukusanya mapato mengi ili malengo ya serikali ya awamu ya tano yatimizwe na fedha za ndani Mbali na haya yote mimi nasema fedha nyingi zinaweza...
  10. Matapeli wa kisiasa waliopoteza chanzo cha mapato wanatafuta msaada kwenye tuta

    Tunajua fika CHADEMA na Act wazalendo ni vyama ambavyo kwa ushahidi wa wazi kabisa ambao hauna chembe kuwa ni vyama vya wasaka matonge. Wao kuweka pesa mfukoni ndio lilikuwa jambo la kwanza kuliko maslahi ya Tanzania na raia wake. Tulishuhudia Zitto Kabwe akizurula Ulaya na Usa na kunadi kuwa...
  11. Investing/ A growing Dodoma: I think President JPM hajaeleweka kuhusu mapato ya ardhi na nyumba

    Greetings! Nia ya President JPM ya kuifanya Dodoma kuwa capital city kwa vitendo was great. Ninaomba afanikiwe. Jiji la Dodoma ni kubwa geographically na ni zuri ki-usalama na kwa serikali kukaa hapo tofauti na a notable commercial city like Dar. My intention is to advise the CiC kuhusu...
  12. SOFTWARE FedhaBook: Tunza kumbukumbu zako za mapato na matumizi bila malipo ya kila mwezi wala mwaka

    .
  13. L

    Serikali inapoteza mapato huku

    Kwa udhibiti huu wa Internet, mapato kwa makampuni ya simu yatashuka sana, hivyo kiasi cha kodi kushuka pia. Kwa sasa mobile companies wanauza sana data kuliko voice. So kwa kuwa siku hizi huwezi download chochote, wala huwezi angalia Online TV, pamoja na movies bundle halitumiki isipokuwa...
  14. Uchaguzi Mkuu 2020 ni chanzo kizuri cha mapato kwa wanasheria mwaka 2021

    Kutokana na ukiukwaji mkubwa wa sheria, kanuni, na taratibu za Uchaguzi Mkuu 2020 zikizowaweka madarakani wezi wa kura kwa mbinu chafu zikiweko kura feki, wanasheria mkae mkao wa kula. Mna chanzo kizuri sana cha mapato baada ya wezi hawa kuapishwa. Ushahidi wa wizi huu upo kila kituo, kila...
  15. J

    Wakaazi wa jimbo la Alaska hulipwa USD 1500+ kutokana na mapato ya mafuta katika jimbo lao. Kwanini watu wa Kusini hawapati chochote kutokana na gesi?

    Jimbo la Alaska USA lina utajiri mkubwa wa MAFUTA. Sasa serikali ya jimbo hilo kila mwaka hutoa kiasi fulani cha mapato yanayotokana na mafuta na kuwagawia wananchi moja kwa moja. Nimejiuliza kwanini serikali ya Tanzania haitoi sehemu ya mapato ya gesi ya kusini na kuwagawia wakaazi wa mikoa...
  16. J

    Hivi bunge kama taasisi hawana vitega uchumi vinavyoliingizia mapato au linaitegemea serikali kwa 100%?

    Nauliza tu maana inafahamika kwamba Bunge ni taasisi huru inayojitegemea. Je, bunge letu la Dodoma lina vitega uchumi? Je, bunge letu lina miradi yoyote ya huduma za kijamii hata kama ni kakituo ka afya tu? Majibu Tafadhali. Maendeleo hayana vyama!
  17. Tulilima mboga na ziliuzwa, lakini hatukuwahi kupewa mrejesho wa mauzo yetu

    Tukiwa shule ya msingi, tulipewa eneo la kulima. Tuligawanywa maji si ya watu kumi na kila kundi lilipiga kura kumchagua kiongozi wa kundi. Amina alipata kura nyingi katika kundi letu hivyo akawa kiongozi wetu. Tulipewa majembe na kuanza kuchimba mafuta. Kila kundi liliamua nini kitapandwa...
  18. Je, kuna ubaya endapo baadhi ya shughuli za ‘kiimani’ zinazoingiza mapato na faida kwa wamiliki wake zikasajiliwa na kupewa TIN number pamoja na EFD?

    Biashara ina tafsiri pana sana. Baadhi ya shughuli zinazoitwa za ‘kiimani’ zinashabihiana kwa kiwango cha 100% na shughuli zingine za kibiashara ambazo husajiliwa na kupewa TIN number, leseni ya biashara pamoja na mashine za EFD. Mfano: 1.) Mtu anaponunua maji kwa shs. 500/=, kisha...
  19. Mamlaka ya Mapato - TRA, Nasema Nanyi

    MAMLAKA YA MAPATO- TRA, NASEMA NANYI Na, Robert Heriel Kumekuwa na malalamiko yanayoelekezwa Mamlaka ya Mapato - TRA. Malalamiko ya wafanyabiashara na wajasiriamali wadogo dhidi ya TRA yamekuwa kama sehemu ya wimbo katika taifa hili. Hii imepelekea baadhi ya wanasiasa kujipatia ujiko kwa...
  20. Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

    Leo 1 of july 2020 Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati "middle income economies " Tanzania imeweka rekodi hii haraka kuliko ilivyotarajiwa hapo awali Benki ya Dunia na taasisi nyingine duniani zimeendelea kumwaga sifa za pongezi kwa Rais Magufuli kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…