Wengi huwa tunapenda kuanzisha familia ikiwa lengo kuu ni kupeana faraja tu, bila kufikiria ili familia iwe na amani na utulivu uchumi unatakiwa uwe umetulia.
Si vema kwa mtu mwenye familia kuwa na chanzo kimoja cha mapato, mfano mshahara; mshahara siku zote huwa hautoshi na huwa unapatikana...