mapendekezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wizara ya mambo ya nje yawasilisha mapendekezo ya maboresho ya kodi

    Menejimenti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imekutana na Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi na kuwasilisha mapendekezo ya maboresho yanayoigusa moja kwa moja Wizara ya Mambo ya Nje na wadau wake katika kikao kazi kilichofanyika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania, jijini...
  2. Mapendekezo kwa TBS ili kuzuia matumizi ya kemikali ya Ethylene katika kuivisha ndizi kwa muda mfupi na kuokoa afya za walaji

    Kwa yeyote anayefuatilia vyombo vya habari nchini Tanzania bila shaka atagundua kuwa siku chache nyuma kumekuwa na taarifa kwamba kuna baadhi ya wafanyabiashara wanatumia gesi ya Ethylene kuivisha ndizi zao. Sasa kama kuna mamlaka ambayo inahusika ina jukumu muhimu katika kuhakikisha usalama na...
  3. Mapendekezo ya China yaendana na “Mkataba wa Zama Zijazo” wa Umoja wa Mataifa

    Mkutano wa Kilele wa Zama Zijazo wa Umoja wa Mataifa hivi karibuni ulipitisha “Mkataba wa Zama zijazo”, ambao unaelezea muhtasari wa maendeleo ya siku zijazo duniani. Lengo la Mkataba huo ni kuboresha mfumo wa usimamizi wa dunia, na kustawisha utaratibu wa pande nyingi, ili kukabiliana vizuri na...
  4. Pre GE2025 CCM: Mapendekezo ya Mdahalo kwa Wagombea Urais Tanzania

    Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, ni muhimu kuimarisha mchakato wa kidemokrasia nchini Tanzania. Moja ya njia bora ya kufanya hivyo ni kwa kuandaa mdahalo wa wagombea urais kutoka vyama vyote vya siasa, ambao utawapa fursa wagombea kujieleza kwa uhuru bila kuwakilishwa na chama chao...
  5. I

    Mapendekezo ya katiba mpya ya kupunguza mamulaka kwa rais

    Katika kuzungumzia mamlaka ambayo yanaweza kutolewa kwa Rais wa Tanzania katika Katiba mpya, inahitajika kufikiria juu ya uwiano kati ya nguvu za kiutawala na uwajibikaji wa serikali. Hapa kuna baadhi ya mawazo kuhusu mamlaka hayo: 1. Kupunguza Mamlaka ya Kuteua: Rais awe na uwezo wa kuteua...
  6. I

    Mapendekezo ya Katiba Mpya

    Katika mapendekezo ya katiba mpya nchini Tanzania, kuna maeneo kadhaa ambayo watu wengi wanapendekeza yafanyiwe marekebisho. Haya ni baadhi ya mambo muhimu: 1. Mipaka ya Madaraka ya Rais: Pendekezo ni kupunguza nguvu za madaraka ya Rais ili kuwe na uwiano bora wa madaraka kati ya mihimili...
  7. K

    Je mapendekezo ya "TUME YA HAKI JINAI" yako wapi kwa Polisi hii

    Wale wale waliokuwa wanashangilia mapendekezo ya tume ndiyo hao hao hawajatekelezi na wengine kuagiza kuvunjwa kwa sheria hizo hizo. Yaani Polisi ya sasa inavunja sheria kuliko hata Polisi ya kabla ya tume. Sasa faida ya hizi tume ni nini! Au Tuwe na tume maalumu kwa vyama na makundi na sio kwa...
  8. Wakili Harold Sungusia: Kama tunatazama maslahi mapana ya Taifa basi tutatoa mapendekezo ya Katiba Mpya ambayo hayana ubinafsi

    https://www.youtube.com/live/3CV9o7c2fo8?si=_pUk3LIG7gbkpfIq Rais wa Tanganyika Law Society (TLS) Wakili Harold Sungusia amewataka washiriki wa Mdahalo wa wazi juu ya mchakato wa kupata katiba Mpya Tanzania kuangalia maslahi mapana ya Taifa na sio maslahi binafsi,au maslahi ya Taasisi,Dini...
  9. SoC04 Ushirikishwaji wa wananchi katika uandaaji na mapendekezo ya bajeti namna unavyoweza kuchochea uwajibikaji nchi

    Katika nchi nyingi za kidemokrasia raia wana jukumu kubwa katika mchakato wa kupanga bajeti ya nchi, kuhakikisha uwazi, uwajibikaji, na mwitikio kwa mahitaji ya Umma. Miongoni mwao nchi hizo ni ICELAND, USWIS,URENO, BRAZIL na AFRICA KUSINI. Hapa nitaeleza 1. Njia zitakazo pelekea uwajibikaji...
  10. HAMAS wazidisha mateso kwa Wapalestina, wabadilisha mapendekezo na kuongeza visivyotekelezeka

    Mpaka sasa hivi namba za Wapelestina waliouawa zinakaribia 40,000 na bado wanauawa kila siku, ilhali wanaosababisha yote hayo bado wameshupaza shingo, wameshikilia mateka watoto wa Wayahudi huku wakiendelea kuongeza masharti na pia wenyewe kuuawa. Gaza yote imefanywa shamba.....na bado...
  11. L

    Mapendekezo yangu wajumbe wanaofaa kumsaidia Mo Dewji kwenye Bodi ili kurejesha heshima yake iliyopotea

    Wa kwanza niteue mimi, nimeanza kushabikia, kushangilia na kuwa member wa Simba tangu mwaka 1989.Simba inamfunga Yanga bao 2 kwa 1 kwa bao la marehemu John Makelele zigzag huku beki Fred Felix Minziro Majeshi Baba Kataraia akimzaba makofi niko uwanjani, Simba anakosa ubingwa vs Stella niko...
  12. SoC04 Mfuko wa Maendeleo ya Vijana, Wanawake na Walemavu Tanzania - Mapendekezo ya Uboreshaji wake kwa Kutumia Mkoa wa Dar es Salaam kama Mfano

    Tanzania ina utaratibu wa kutenga kiasi cha fedha kutoka kwenye mapato ya ndani ya halmashauri zote kwa ajili ya maendeleo ya vijana, wanawake na walemavu. Fedha hizo hutokana na asilimia 10% ya mapato ya ndani ya halmashauri, ambapo asilimia 4% hutengwa kwa vijana, asilimia 4% kwa wanawake na...
  13. M

    SoC04 Mapendekezo ya Kutatua Changamoto za Sekta ya Afya Tanzania

    Sekta ya afya ni mojawapo ya sekta muhimu sana katika maendeleo ya taifa lolote, ikichangia kwa kiasi kikubwa ustawi na maendeleo ya jamii. Hata hivyo, Tanzania inakabiliana na changamoto kadhaa katika sekta ya afya ambazo zinahitaji kutatuliwa ili kuongeza ufanisi na ubora wa huduma za afya...
  14. Mapendekezo yangu ya tahasusi mpya ambazo zinaleta tija

    Habari wa kuu , Nmeona combination mpya zimeongezwa ili kuwapa uwanja mpana wanafunzi wa advance lakini naona hazija ongeza kitu kwa wanafunzi wa sayansi zaidi ya computer. Kwa maono yangu tungepata combination zifuatazo 1. Math, Physics And Chinese 2. Physics, Chemistry and Russian or...
  15. Mapendekezo yangu ya combination mpya

    Habari wa kuu , Nmeona combination mpya zimeongezwa ili kuwapa uwanja mpana wanafunzi wa advance lakini naona hazija ongeza kitu kwa wanafunzi wa sayansi zaidi ya computer.kwa maono yangu tungepata combination zifuatazo 1.math, physics and Chinese 2.physics, chemistry and Russian or arabic...
  16. Serikali yawasilisha Bungeni mapendekezo ya Bajeti ya 2024/25 iliyofikia Tsh. Trilioni 49.39

    Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amewasilisha Mapendekezo ya Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/25, kwenye Kamati ya Bunge zima, katika Ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni jijini Dodoma, ambapo Serikali imependekeza kukusanya na kutumia jumla ya shilingi...
  17. Pre GE2025 CCM tunaomba 2025 msituletee marais wa kujiokoteza okoteza, Samia asipite hata kwenye top 10 yenu ya mapendekezo

    Kwakweli Kwa haya tulioyapitia miaka mitatu inatosha sasa Hatuwalaumu CCM Kwa huyu raisi tulienae kwa sasa lakini mtatukosea sana kama tutasikia huyu Rais ndio mtaempitisha kama mgombea. Tumechoshwa na mambo yanayoendelea achilia mbali mfumuko wa bei holela, wizi wa mali za umma unaoota mizizi...
  18. Mapendekezo ya njia za kukopa fedha

    Ni vyema kujua kiwango cha mkopo kinachofaa kuwa nacho. Hakuna jibu rahisi kwa hili kwa sababu hali ya kifedha ya kila mtu ni tofauti - na hii itaamua ni kiasi gani cha mkopo kila mtu anapaswa kukopa. Kufanya tathmini hii kunahitaji kujua uwezo wako wa kulipa deni. Kwa maneno mengine, kiasi cha...
  19. Pre GE2025 Mapendekezo ya CHADEMA juu ya Miswada ya Sheria za Uchaguzi ambayo Kamati ya Bunge inazuia yasisomwe Bungeni

    Mapendekezo ya jumla na msimamo wa CHADEMA juu ya miswada ya sheria iliyowasilishwa bungeni 10, Novemba 2023 inayohusu masuala ya uchaguzi na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa NB; maoni haya ndiyo ambayo kamati ya kudumu ya bunge ya utawala, katiba na sheria inazuia yasisomwe =====...
  20. Mapendekezo ya mabadiliko katika vifungu vya Sheria ya Bima

    Mapendekezo haya nayatoa kwa TIRA. Mabadiliko ninayopendekeza ni kwamba, kuwepo na rudisho (return of some proceeds) la fedha kwa mchangiaji wa bima inayoisha muda wake bila janga kutokea. SABABU ZA MAPENDEKEZO HAYA 1. Kuepusha mianya ya rushwa. Mmiliki wa gari yuko radhi kumshawishi askari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…