Kwanza niombe radhi kwa kuleta uzi huu kwenye mwezi mtukufu. Hii tabia nimeivumilia lakini nimeshindwa, wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali wanatabia ya kusimama na kushikana sehemu ambazo watu mbalimbali wanapita, mfano pale UDSM main campus utawakuta magufuli hostel along Sam Nujoma road.
Swali...