mapenzi chuoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Alinisaliti nimebeba mimba ya mwanaume mwingine ananiambia niitoe ili anioe

    Wakuu naombeni ushauri wako, sijui nifanye nini. Mimi ni binti wa miaka 23, nipo chuo mwaka wa pili naingia watatu. Naomba ushauri wako, mwaka jana nilikuwa na mpenzi wangu, ni mwanafunzi mwenzangu, lakini tukagombana tukaachana, na yeye akamchukua rafiki yangu. Nikiwa katika maumivu, nilikutana...
  2. B

    Hii ndiyo Sababu sikuoa na wala sina mpenzi Mwanachuo

    Mnasikia yanayoendelea, yaliyoendelea na yatakayoendelea. Kila wakati mitandaoni tunaona wanaoliwa mitungo, wanaopakuliwa mambo haramu ni wasomi. Hii ndio sababu bora nikae na form Four Failure ila sio hawa wake za vigogo.
Back
Top Bottom