Mwenza wako anakupuuza sana pale ambapo unakuwa unajirahisisha sana kwake, unajitutumua sana ili kumfurahisha, unahatarisha uhai wako ili uthibitishe kwamba wewe ni husband material/wife material.
Mwenza wako anapata kiburi , majivuno, jeuri na dharau ya kukupuuza na kukuona tambara la deki...
Msaada tutani wakuu.
Nawezaje kujua kama huyu ndiye au siye? Je wana alama yoyote kama wamakonde au?
Naomba niachwe kwanza nisihojiwe kwa sasa nipo kwenye uchunguzi maalum.
Tafadhali vijana wa hovyo msinambie nikamwulize mwakinyo.🤣
Mapenzi hayana bima wala hayana formula maalumu ambayo kila mtu anaweza kuitumia na kupata matokeo yenye kufanana.
Unaweza kutengana na mwenza wako saa yoyote,muda wowote bila kujali uwekezaji wako kwake.Hauwezi kudumisha mahusiano kama mwenza wako ameamua muachane.Utadumu na mwenza wako pale...
Kuelekea 2025 .
Kauli mbiu ni "Protect your Energy" (Linda nguvu yako).
Katika maisha kuna mambo mengi Sana ambayo huleta destruction , disappointment and heart fainted.
Katika mahusiano
Usihangaike kumbadilisha mwanamke / mwanaume ili aendane na wewe utaumia Sana Ila wewe unaweza kubadilika...
Nimeenda kumtembelea sista ambaye ni mtoto wa mama mkubwa ameolewa jijini dar, sasa hapa wanaishi watu wa nne, sista, shemeji, mdogo wake shemeji ni wa kike, mtoto wa sista mdogo wamiaka mitatu na bekitatu short flani ya njombe huko imebinuka balaa...
Tiwa savage "Wanawake bila Ngono hatutoboi" 🥶🥶🥶
Tiwa Savage 🇳🇬 : " mfano Sex ingeondolewa kwenye mahusiano basi asilimia kubwa ya wanawake duniani tusingetoboa kabisa. Haya wewe hapo jiulize swali ukiitoa sex (ngono) kwenye mahusiano Yako Kuna kingine ambacho mpenzi wako anafaidi? "
« kwa...
Jamani nahitaji mwanaume wa kufanya naye maisha. Awe na sifa nzuri zikiwemo
1. Asiwe member wa JF
2. Awe mkristo safi
3. Mrefu mweusi asiye na kitambi.
Please mwanaume mwenye sifa hizo ambaye sio member wa JF aje PM tuyajenge ..!
Leo Rafiki yangu kanisimulia👇🏻
Jamaa anasema, kuna mwamba alioa mwanamke mwenye mtoto wa miaka saba, akamlea yule binti kiroho safi kabisa na kwa upendo japo si bintiye akamsomesha inshot huduma zote jamaa akawa anatoa.
Baadae yule mwanamke wakafanikiwa kupata watoto wengine, sasa yule binti...
Kila mara ninapofikiria kuhusu wewe, moyo wangu hujaa furaha isiyopimika na shukrani isiyo na mwisho. Wewe ni zawadi bora zaidi ambayo maisha yamenipa, na uwepo wako umeleta mwanga na matumaini ambayo sikuweza hata kuwazia hapo awali. Kama jua linavyopambazua siku, ndivyo upendo wako...
Simulizi: Mpenzi wangu Amina.(01)
Mwandishi: Salum Kalase
Sehemu ya kwanza.
Maisha ni kuchagua na mimi nilichagua kumpenda Amina katika maisha yangu yote bila kujali ni nini kitakachotokea katikati yetu.
Ngoja kwanza, kwa majina naitwa Gift Mathayo Lugwisha ni mtoto wa pekee nyumbani kwetu...
https://youtu.be/Cvpm7ckpd_M?si=XZrDOzXkE3ZHrsBO
Habari wadau kabla hujaanza kusoma vaa earphone hapo bonyeza huwa wimbo kenny g nimeu pin ili ukusadie kuzama kwenye kisa soma soma kisa changu
Basi mwaka 2017 maeno ya kisutu posta nilikutana na dada mrembo sana tukabadilishana...
Kama wewe ni mwanaume na unaamini sifa inayokutambulisha ni ndevu au uzito wa sauti ama kuwa tu na viungo vya kiume,kuna kitu kikubwa umepungukiwa.
Labda nikwambie jambo jamaa yangu , umezaliwa kwa sababu na usijisahau kabisa kwenye hii dunia. Unajisahau kwa kuwa unapuuzia vitu vya msingi...
Habarini za wakati huu wandugu. Naomba niende kwenye mada kama jinsi kichwa kinavyosomeka.
Binafsi nimewahi kuwa na mahusiano na wanawake wengi tofauti tofauti na binadamu tuna mapungufu yetu lakini wakati mwingine mapungufu yetu haya yanaweza kuwa unbearable kwa mwingine.
Nilikutana na huyu...
Mimi nimekaa najiuliza sijapata jibu mpaka sasa. Mtu una mke au wake au una Mpenzi au wapenzi Inawewezekanaje ukaenda kumuingilia mtoto mdogo wa umri wa miaka m3 Asiyejua chochote! Kwani amekukosea nini? Mbona wanawake wamejaa na wanatoa huduma ya line zote! Umekosa nini huku labda wana Jamii...
Kutumia lugha ngumu za mapenzi kwa wapendanao kunadumisha, kuimarisha na kusisimua katika mapenzi. Ukitumia lugha laini laini ya kuoneana aibu, mpenzi wako atakuona zoba; atakwenda kwa wahuni na watampa anachokitaka. Jitaidi kutumia lugha ngumu, katika kutaka penzi au katika mazingira ya...
Wakuu,
Habarini za mapumziko na heka heka za kila siku.
Kuna kitu kinanitatiza mjumbe wenu;
Hivi mwanamke anajisikiaje kuwa anapigiwa simu hapokei, anatumiwa meseji hajibu. Na usipomtafuta, ndo basi hamuwasiliani (yaani hadi umuanze wewe)
Na muda mwingine kwenye What's App meseji zinaonekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.