Kama mnavyojua kipindi hiki kwa hapa Tukuyu Mbeya wilaya ya Rungwe miezi hii ya sita kuelekea wa saba ni kipindi cha baridi sana.
Leo nimepata bahati ya kutembelewa na ka anko kangu ambako ni kabinti ka 2000 kanasoma chuo flani cha mambo ya sekretario koz. Ni katoto ka dada yangu mtoto wa...