Kaka vipi hali pole na majukumu.
Samahani kuna hii issue inanitesa sana ni wiki ya pili sasa na sijuwi nifanyaje.
Iko hivi kuna binti niko naye kwenye mahusiano mwezi wa 7 sasa japo kila mtu anaishi kwake lakini mara kwa mara tunatembeleana yeye huja kwangu na mimi huenda kwake na kiufupi ni...