Kuna mwanamke nmekuwa nae kwenye mahusiano takribani mwaka na nusu na malengo yangu mwez wa 12 nikatoe mahari kwao, tulikuwa tumeshatambulishana kwahyo kwao wananifahamu na kwetu vile vile wanamfahamu,
Kwa kumwelezea kdgo huyu bidada ni mpole,mtu wa dini sana na anazungumzika vzr kwa watu...