Wazazi wangu walikuwa wameoana kwa miaka 55. Asubuhi moja, mama yangu alikuwa akishuka chini ili kuandaa kifungua kinywa cha baba, alipatwa na mshtuko wa moyo na akaanguka. Baba yangu alijitahidi kadiri alivyoweza ili kumnusuru alimburuta hadi alipo lifikia gari lao dogo na kumpakia ndani...